didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
- Thread starter
-
- #21
nmemwambia akapime UTI na malaria. Sijataka kua rudeKuwa na akili mwambie aende hospitali na mwambie kabisa ana dalili za kaswende ili ahamasike.
Gono hauponi kwa Azumaπ€£π€£π€£.litajua lenyew as long as azuma inatumika
Unataka kusema ameshaukwaaπππππππππanakwenda peponi kamanda...
wewe nae unawaza umaarufu tu. Sa umaarufu utanisaidia nn?Mwamba umedhamiria hasa umaarufu wako JF iwe ni magonjwa ya zinaa.
haiwezekan hio mkuuUnataka kusema yamekwashaukwaaπππππππππ
Exactly π―Hawa watoto wa siku hizi Gonorrhea wanaita UTI sugu
Endelea kukusanya kaswende, tutacomment tu.wewe nae unawaza umaarufu tu. Sa umaarufu utanisaidia nn?
Ishini humu shauri zenu.Tumieni Kinga wakuu!