Mrejesho baada ya kumfuata mwanangu P. Sasa yuko nyumbani pesa zinaanza kujaa

Mrejesho baada ya kumfuata mwanangu P. Sasa yuko nyumbani pesa zinaanza kujaa

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Jumapili nilileta uzi humu nikieleza jinsi wiki iliyopita nilivyopitia ukame wa mpito wa mambo ya shekeli.

Nilisema kuwa hii hali sijaiexperience kwa kipindi kirefu. Nikaenda mbali na kusema kuwa mwanangu P ambaye alifanyika baraka sana katika familia yangu mara alipozaliwa.

Ukata uliniondokea. Kazini kukawa poa, business ikawa poa pia. Hata mama alipopandisha madaraja watumishi nami niliona ongezeko Juni hata kabla sijapewa barua ya kupandishwa cheo.

Sasa alivyotoka P kwenda kutembea kwa muda mfupi pesa ikaanza kupotea. Nikamfuata Jumapili iliyopita.

Uongo mbaya haka katoto kasumbufu ila mpunga nauona sasa. Kibubu kinanawiri.

Asante Muumba kwa mtoto huyu.

Wito: vijana wenzangu msitoe wala kukataa mimba.
 
Jumapili nilileta uzi humu nikieleza jinsi wiki iliyopita nilivyopitia ukame wa mpito wa mambo ya shekeli.
Nilisema kuwa hii hali sijaiexperience kwa kipindi kirefu. Nikaenda mbali na kusema kuwa mwanangu P ambaye alifanyika baraka sana katika familia yangu mara alipozaliwa. Ukata uliniondokea. Kazini kukawa poa, business ikawa poa pia. Hata mama alipopandisha madaraja watumishi nami niliona ongezeko Juni hata kabla sijapewa barua ya kupandishwa cheo.
Sasa alivyotoka P kwenda kutembea kwa muda mfupi pesa ikaanza kupotea. Nikamfuata Jumapili iliyopita.
Uongo mbaya haka katoto kasumbufu ila mpunga nauona sasa. Kibubu kinanawiri.
Asante Muumba kwa mtoto huyu.
Wito: vijana wenzangu msitoe wala kukataa mimba.
Umejenga nyumba pesa zinavyoingia baada ya kupata mtoto.
Siku zinakuja mtoto atakuwa yupo shule boarding
 
Back
Top Bottom