Papuchi zote ulizochakata mkuu toka CHAKO N CHAKO hadi KIMBOKA BUGURUNI lakn umenusurika mkuu?Kwa nini mkuu?
Jana nilikuja na uzi kwamba leo nitampeleka mwenza wangu Clinic kufungua kadi ya mahudhurio na maendeleo ya mtoto kwa sababu ni mjamzito,
Mrejesho.
Niliomba ushauri wengi waliniogopesha kwenye swala la kupima Ngoma, kweli sikuwahi kuwazaga kama kuna siku nitakuja kupima Ukimwi,
Nimeamka Asubuhi mapema nikajiandaa, nikamkumbusha mwenzangu akajianda pia nikakodi bajaji hao mpaka zahanati,
Tulikuta foreni kubwa tu,pia tulikuta na wenzetu pia ndio wamekuja kuanza clinic kama sisi,
Of course kabla ya yote tulipewa darasa zuri sana, la mama na mtoto aliyetumboni, jinsi ya kumuhudumia, vitu muhimu wakati wa kujifungua,dalili, vyakula kwa mama mjamzito na N.K
Kwa kweli somo lilikuwa zuri, baada ya hapo tukaanza kujiandikisha ili kuanza Huduma,
Wale wenza waliokuja kama pair, mume na mke ndio wanaopewa kipaombele kwanza then hao waliokuja wenyewe bila waume ndio wanafatia
"hapa niweke wazi imeniuma sana, sisi wanaume ni watu wa Ajabu sana, hamuwezi Amini kati ya wote walioenda kufungua kadi zao ni mimi peke yangu ndio mwanaume nilieenda na mwenza wangu"
Manesi walishangaa na kunipa Ongera ya kumsindikiza mwenzangu, na ndio nilikuwa mfano leo kwa wengine.
Muda wa vipimo vikawadia, tukatolewa damu kwa ajiri ya kipimo cha HIV aisee hamuwezi amini moyo ulikuwa mweupe na kujisemea chochote kitakachotokea ni sawa, niwe na Ukimwi sawa, nisiwe nao sawa huku moyoni nikisali sali mwenyezi mungu aniepushie mbali,
Wakulungwa baada ya kuchukuliwa sample ndio hofu sasa ikaanza kunijaa, nikakumbuka mademu wengi niliowachakata, na kuwahisi hivi kweli yule alikuwa safe, flani na flani kweli hawajanipa Ukimwi,
Nilikuwa na Hofu kweli kweli,
Muda wa kupokea majibu ukafika aisee sikuamini Nesi alivyotupa Ongera na kusema mko salama mjitahidi tu kujilinda na viushauri kadhaa kadhaa,
Aiseee siamini mpaka sasa wazee, kuna vyuma kibao nilipitaga navyo na tetesi kitaa sinasema waliungua, kuna malaya kibao nilipita nao na uhakika hawakuwa safe,
Lakini leo nimepima nimejikuta niko salama salmini, hakika siamini mpaka sasa,
Nasubiri miezi mitatu mingine nikarudie kipimo.
Nb.
Ndugu zangu tujitahidi kuwasindikiza wake/wenza wetu clinic,
Ata kama tumebanwa sana na majukumu tujitahidi kutenga muda ni jambo la masaa tu,
Huwa wanakuwa wapweke, kama vile wametengwa wanapokuwa wenyewe pale clinic.
Tujitahidi sana.
Cc Zero IQ
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Umecopi wapi hii story 😎 😎 😎Jana nilikuja na uzi kwamba leo nitampeleka mwenza wangu Clinic kufungua kadi ya mahudhurio na maendeleo ya mtoto kwa sababu ni mjamzito,

We acha tu mkuu siamini mpaka sasaPapuchi zote ulizochakata mkuu toka CHAKO N CHAKO hadi KIMBOKA BUGURUNI lakn umenusurika mkuu?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sio ushauri ni mtazamo tuJf imekulea mpaka umekuwa mkubwaaa sasa na familia. Nawewe umeanza kuwapa ushauri madogo hongera!!
[emoji1][emoji1][emoji1] Sina shaka nae mkuu, kitanda hakizai haramu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana Mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama unavyojirusha huku na kule na warembo shemeji naye si ajabu anajirusha na wahuni huku na kule.
Sawa mkuu nimekuelewaHuna kazi kufanya ndiyo maana unakwenda kiliniki ya Wanawake.huoni aibu kukaa foleni ya kupima Mimba.fanya mambo kiume
Kwa nini mkuuUmenichekesha sana na swali lako Mkuu lol! Hahahahahaha
Nb.
[emoji1][emoji1][emoji1] Sina shaka nae mkuu, kitanda hakizai haramu