Mrejesho baada ya kumpeleka mwenza wangu Clinic

Yaani wewe unahangaika na mwanamke mmoja tu kisa Ana mimba. Mwanaume Kaletwa duniani ili azalishe Wanawake. Wastani mwanaume maishani hakikisha umetia mimba Wanawake 3 mpaka 10 ili ufanye uko kuongezeka na kuijiza Dunia
 
Unajua mpaka sasa nimeshazaa na wanawake wangapi?

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Ukimwi tu hautoshi inafaa mkapime na STDs maana haya ndio umuaribu zaid mtoto anapo kuwa tumboni na yanaweza pelekea kifo au ulemavu kwa kichanga
 
Back
Top Bottom