bornthelast
Member
- Jul 11, 2022
- 24
- 15
Yah,kitaalamu haishauliw hivyo b'se unaweka jino at risk ya kutoboka/kukatika/vunjia esp kama yako weak.Too much of anything is harmful
Ukitafuna sana vitu vigumu kwa kipindi kirefu unaumiza fizi,mzizi wa jino.
I mean ni kitu ya kuja kuona impact yake hata 5-10yrs mbele huko.