B bornthelast Member Joined Jul 11, 2022 Posts 24 Reaction score 15 Aug 1, 2024 #21 Depal said: Too much of anything is harmful Ukitafuna sana vitu vigumu kwa kipindi kirefu unaumiza fizi,mzizi wa jino. I mean ni kitu ya kuja kuona impact yake hata 5-10yrs mbele huko. Click to expand... Yah,kitaalamu haishauliw hivyo b'se unaweka jino at risk ya kutoboka/kukatika/vunjia esp kama yako weak.
Depal said: Too much of anything is harmful Ukitafuna sana vitu vigumu kwa kipindi kirefu unaumiza fizi,mzizi wa jino. I mean ni kitu ya kuja kuona impact yake hata 5-10yrs mbele huko. Click to expand... Yah,kitaalamu haishauliw hivyo b'se unaweka jino at risk ya kutoboka/kukatika/vunjia esp kama yako weak.