Mrejesho: Baada ya kuonana na nesi wa mchongo dhidi ya tatizo la uume wangu

Mrejesho: Baada ya kuonana na nesi wa mchongo dhidi ya tatizo la uume wangu

Kwani mkuu, nikitaka kufuta threads zote na kubadili username nafanyaje?
[emoji24][emoji24][emoji24]
Kufuta haiwezekani ila kubadili username inawezekana kwa kuwajulisha moderators.
 
Lakini Comment kwenye uzi wake unasoma na ku reply?[emoji847]

Never take everything too serious..
Comment ya toyeye ndo ilonivutia kuufungua huu uzi (Ukiwa unascroll nyuzi bila kuzifungua lazima uione the last comment)

Do I take everything serious? Inaonekana unanifahamu kinagaubaga, that's f*cking great!!!
 
Uzi mzuri ila hauingii akilini kwa mazingira yet ya kiafrika na wanawake wetu wa kiafrika
 
Unakoelekea ni’ natumia supplements so ans so kutoka kampuni flani… ukiitaji njoo inbox’
 
Back
Top Bottom