mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 642
[emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] teh teh ndo ukubwa huo dadekii
ukubwa sio kuvaa mlegezoo
Huyohuyo ndio.barafuyamoto Huyuhuyu Wa Hakunaga?
Jf aliyewaroga sijui nani.Ungesherehesha Na kapicha....!
Usimsahau na Dully SykesMwambie na Sumalee mzee wa chungwa ahame kwao, ameshakua.
Kwahiyo na huyu misifa yupo home,pole yake.Usimsahau na Dully Sykes
Ndio...bado anagombania ugali na wadogo zakeKwahiyo na huyu misifa yupo home,pole yake.
Kwao wapi?..Tabata?Usimsahau na Dully Sykes
Alikuwa Kariakoo sasa sijui kama wamehamia huko TabataKwao wapi?..Tabata?
Mbona alihamia tabata kitambo..Toka 2008 au 2009 nakumbuka..Sijui kama aliwahi kurudi Kariakoo tenaAlikuwa Kariakoo sasa sijui kama wamehamia huko Tabata