Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Huyu si nasikia kawa shehe?? Kaachana na muziki wa kidunia. AU uongo??Huyohuyo ndio.
Hadi kuoa kaolea kwao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu si nasikia kawa shehe?? Kaachana na muziki wa kidunia. AU uongo??Huyohuyo ndio.
Hadi kuoa kaolea kwao.
Kuhusu kuacha mziki sijui,ila kwao wana mawe na ni watu wa dini sana.Huyu si nasikia kawa shehe?? Kaachana na muziki wa kidunia. AU uongo??
anaishi kwa bibi yake tabata..nyumba ya kupangaKwahiyo na huyu misifa yupo home,pole yake.
Salute JFanaishi kwa bibi yake tabata..nyumba ya kupanga
Ila hiyo kuendelea kukaa kwao hadi umri huo ndio inashangaza.Kuhusu kuacha mziki sijui,ila kwao wana mawe na ni watu wa dini sana.
Hivyo yeye kuwa Sheikh haishangazi.
Labda anasubiria washua waundei akware mjengo c unajua ukikaa mbali unaeza kuskia mshua aliuchukulia mkopo labdaKuhusu kuacha mziki sijui,ila kwao wana mawe na ni watu wa dini sana.
Hivyo yeye kuwa Sheikh haishangazi.
Kwan huyo belle 9 anambonji wapiKinyulinyuli ana nyumba kubwa na bar chamwino na mke ambaye alikuwa demu wake kitaaambo... Belle ndo anazingua hat a hapo wazaz wake wanapokaa siyo kwao