Mrejesho: Belle 9 Hii Ni Aibu

Mrejesho: Belle 9 Hii Ni Aibu

Kuhusu kuacha mziki sijui,ila kwao wana mawe na ni watu wa dini sana.
Hivyo yeye kuwa Sheikh haishangazi.
Ila hiyo kuendelea kukaa kwao hadi umri huo ndio inashangaza.
 
Kuhusu kuacha mziki sijui,ila kwao wana mawe na ni watu wa dini sana.
Hivyo yeye kuwa Sheikh haishangazi.
Labda anasubiria washua waundei akware mjengo c unajua ukikaa mbali unaeza kuskia mshua aliuchukulia mkopo labda
 
Kinyulinyuli ana nyumba kubwa na bar chamwino na mke ambaye alikuwa demu wake kitaaambo... Belle ndo anazingua hat a hapo wazaz wake wanapokaa siyo kwao
Kwan huyo belle 9 anambonji wapi
 
Back
Top Bottom