Mrejesho biashara ya madini 'third season'

Usage mawe bure alafu unatoa 40% ya mawe kwa mwnye klemu ndo nn hii bure sasa??.mpaka sasa una tani.200 almost hizo ni zaidi ya tank.6 za tani.3 kama sample inasoma 8+ppm alafu unalia eti mtaji mdogo,hyo unachenjua na faida juu ya kutosha tena iliopitliza ila subilia ukakutane na changamoto wizi wa carbon ukienda plant na wizi wa dhahabu elusion uje usimulie vizuri hadithi yako umu
 
Eeh eeh
 
Salam zangu na zisambae kwenu nyote. Matumaini yangu mu buheri wa afya tele, na hata walioteteleka mwenyezi Mungu awajaalie wepesi wa kupona haraka.

Ahadi ni deni. Nami tangu nimeanza mbio zangu za kibiashara kwenye madini ya Dhahabu nimekuwa na tendency ya kuripoti wapi nimefikia kila baada ya miezi sita. Niliwahi kuja na post ya mrejesho first season Mrejesho: Biashara ya madini aina ya dhahabu

baadae nikaleta second seoson Mrejesho biashara ya madini ya dhahabu second season

Na sasa naileta 'third season'. Labda nianze kwa kusema kuwa watu wengi wananifuata pm kutaka kuonana na Mimi. To be honest, siko tayari kuonana na mtu ila kama utahitaji msaada mwingine wa maelekezo nitakujibu. Nafanya hivi kwa sababu hatujuani, nami sitaki kumulikwa kihivyo.

Baada ya kununua Karasha mwezi may 2021, nikitumia takribani 11mil, nilibakiwa na mtaji wa kama 12 millions. Kwa ukanda wetu huku huwa tunasaga mawe bure, hivyo ni kuhudumia tu yaani unanunua diesel mwanzo mwisho hela ukitoa mfukoni.

Kazi ya kusaga mawe nilianza kwenye tar 10 may hivyo Sasa nimekamilisha miezi sita. Nilipata sehemu ya kuchimba mawe kwenye mgodi wa rafiki yangu. Huwa naajiri watu nawalipa kwa mwezi wanafanya kazi ya kutoa mawe baada ya kulipua. Mawe hayo huwa nagawana na mwenye mgodi yeye akichukua 40%, Mimi nachukua 60% ya mawe. Kisha huwa nayabeba na kwenda kuyasaga karashani kwangu.

Saivi rudio limekuwa kubwa nakadiria gari za tani kumi 20. Sampo nikipima maabara inasoma 8ppm na zaidi. Mpaka saivi natoa faida kwenye biashara ya Dhahabu nahudumia Karasha, na Sasa nataka mlima uendelee kukua hadi mwakani mwezi may.

Changamoto ni pesa ya mtaji imezidiwa na matumizi ya Karasha kwani inapungua siku hadi siku. Kwa hiyo nitapambana kwa namna yoyote ili hadi kufikia mwakani mwezi wa sita nichenjue mlima.... Na hapo nikipata angalau kilo mbili za Dhahabu, nitapambania lessen ya u dealer. Na hapo nitaianza rasmi safari ya kuusaka ubilionea.

Vijana wenzangu wakike na wakiume ni wakati sahihi sasa wa kuamua kuzifuata ndoto zako. Wengi tunashindwa kuingia kwenye fulsa za biashara kwa kuamini kuwa hatuna mitaji. Nikwambie tu mtaji ni kitu kidogo sana kwenye biashara. Unaweza uwe na mtaji na ushindwe kufanya biashara ikakua. Hivyo kitu kikubwa kwenye biashara lazima uwe na confidence na utashi wa kuifanya hiyo biashara.

Nitoe mfano wa binti mmoja nimemfahamu anaitwa Diana (jina la uongo). Alikuwa anafanya biashara ya kujumua pombe kali anapeleka migodini.

Alikuwa anafuata mpakani Tunduma anakuja kuuza Chunya. Alianza na mtaji wa laki na nusu tokea 2019. Diana alifanya biashara hiyo kwa miezi saba akawa na hela kama laki 9. Akaamua kuongeza vitenge kwenye kufunga mzigo. Bahati mbaya siku moja akiwa kwenye usafiri gari ilipata ajali akavunjika mguu. Alitumia pesa karibia yote aliyokusanya kujiuguza.

Mpaka anapona alikuwa amebakiwa na kama laki mbili tu. Mguu ulipona vizuri. Alichofanya Diana aliamua kubadilisha biashara, alikodi fremu akafungua genge la mbogamboga. Amefanya biashara hii kwa mwaka, ikamlipa maradufu.

February ya mwaka huu alifungua grocery karibu na pale anapouzia mbogamboga. Bia ambazo zinauzwa 2500 bar yeye anauza buku jero. Savi mwezi November ameongeza duka la mitumba hapohapo karibu.

Nimemtolea mfano Diana kuonyesha ni jinsi gani unaweza kuwa na ndoto kubwa ya kumiliki benki, ukaanza na sh elfu hamsini kuitekeleza ndoto yako.

Panapo majaaliwa tukutane tena June 2022 hapahapa kupeana update.
Nakushaur shirikisha wataalam upate ushaur ndugu yangu...usije ukaja shtuka kumbe ushapoteza pesa nying...tushapita huko kaka...

Dhahab ya inch hii inataka ufaham unafanya nin...unaweza spend all ua time kumbe mahala hapo ppm znasoma ndogo sana .dhahab ipo ila ni fractions...kama unapesa na mtaj nashaur nenda kawekeze na kuhangaika eneo la kanda ya ziwa kitaalam/ki geologia tunaita nyanza region..hilo ndo limefanyiwa utafit na makampun makubwa dunian na ndomana migod mikubwa yote Tz ya dhahab iko ukanda huo kuanzia tabora mwanza kwenda mbele huko shinyanga..huku kwingne dhahab ni ya kubahatisha mno..ushaur tuu ndugu
 
Ila Crusher ya 30mm plate bei yake ni 7.5-8.5mil kwa sasa
Hizi zinabeba hadi viroba 6 kama una gololi zakutosha.

Ambapo unapewa Engine ya 20HP

Gololi 600 60mm na 80mm

Hapo naongelea Shinyanga Best/B52
 
Hongera sana nimekufuatilia toka mwanzo sema ni vile dunia imekua sio rafiki tena niko Mbeya ningekuja nijifunze kitu hila nakutakia mafanikio na mapambano mema tutakutana uko
 
Nakushaur shirikisha wataalam upate ushaur ndugu yangu...usije ukaja shtuka kumbe ushapoteza pesa nying...tushapita huko kaka...

Dhahab ya inch hii inataka ufaham unafanya nin...unaweza spend all ua time kumbe mahala hapo ppm znasoma ndogo sana .dhahab ipo ila ni fractions...kama unapesa na mtaj nashaur nenda kawekeze na kuhangaika eneo la kanda ya ziwa kitaalam/ki geologia tunaita nyanza region..hilo ndo limefanyiwa utafit na makampun makubwa dunian na ndomana migod mikubwa yote Tz ya dhahab iko ukanda huo kuanzia tabora mwanza kwenda mbele huko shinyanga..huku kwingne dhahab ni ya kubahatisha mno..ushaur tuu ndugu
Sijui kama itawezekana tena manake keshawekeza huko vya kutosha
 
Mkuu mcrounmj hongera sana kwa mapambano. Nilikua Chunya mwezi wa 12 nimejionea uwekezaji unaonedelea huko. Kila la kheri kwenye harakati zako.

Aidha unapitisha rudio lako mwaloni? Kama unapitisha si unaokota vipoints vya dhahabu hapo ambayo ukiuza ingeweza kuendelea kuendesha kazi especially kama rudio lako linasoma vizuri hivyo 8ppm ni concentration kubwa. Ningeshauri nenda plant sasa tayari rundo lako ni kubwa enough na bado uzalishaji unaendelea.

Ukienda plant Hakikisha unapata mkemia msomi na mzoefu maana huyo tu anaweza kukuharibia shughuli yote na uchenjuaji hauna kurudi nyuma, ukifika elution kuwa makini sana yani zaidi ya sana kuna wizi wa carbon huko hatari although umepungua miaka ya sasa wanavyodai.

Afu unasagia watu wengine pia kwa malipo? Nadhani hiki nacho kingeweza kuwa chanzo kingine cha mapato.

Toka uanze kuchimba michirizi inapotea na kurudi au base yako ni kubwa ni kuvuna tu mawe?
 
KARASHA ni lile mashini la kusaga mawe yaani CRUSHER! Au siyo kama nimekosea nisahihisheni! KARASHA ni nickname ya CRUSHER huko migodini!

Haya kazi yake ni kusaga mawe "yenye dhahabu". Kwa nini ni ghali sana huko Chunya, nadhani Kahama na hata Geita yanatengenezwa kwa kati 5 na 8mi!? Halafu, kwa hili, nisameheni sana, sijui kama hicho kipimo cha ppm, uliwahi kukitaja kwenye 1st au 2nd sessions!? Hicho "ppm" ni kipimo cha nini - ni cha wingi wa dhahabu kwa kiroba au nini? Saidia Msomi wangu.
Hivi karasha lipi ni zuri hili ball mill crusher au hammer mill crusher nakuna hii jaw crusher naomben msaada hapo
 
Salam zangu na zisambae kwenu nyote. Matumaini yangu mu buheri wa afya tele, na hata walioteteleka mwenyezi Mungu awajaalie wepesi wa kupona haraka.

Ahadi ni deni. Nami tangu nimeanza mbio zangu za kibiashara kwenye madini ya Dhahabu nimekuwa na tendency ya kuripoti wapi nimefikia kila baada ya miezi sita. Niliwahi kuja na post ya mrejesho first season Mrejesho: Biashara ya madini aina ya dhahabu

baadae nikaleta second seoson Mrejesho biashara ya madini ya dhahabu second season

Na sasa naileta 'third season'. Labda nianze kwa kusema kuwa watu wengi wananifuata pm kutaka kuonana na Mimi. To be honest, siko tayari kuonana na mtu ila kama utahitaji msaada mwingine wa maelekezo nitakujibu. Nafanya hivi kwa sababu hatujuani, nami sitaki kumulikwa kihivyo.

Baada ya kununua Karasha mwezi may 2021, nikitumia takribani 11mil, nilibakiwa na mtaji wa kama 12 millions. Kwa ukanda wetu huku huwa tunasaga mawe bure, hivyo ni kuhudumia tu yaani unanunua diesel mwanzo mwisho hela ukitoa mfukoni.

Kazi ya kusaga mawe nilianza kwenye tar 10 may hivyo Sasa nimekamilisha miezi sita. Nilipata sehemu ya kuchimba mawe kwenye mgodi wa rafiki yangu. Huwa naajiri watu nawalipa kwa mwezi wanafanya kazi ya kutoa mawe baada ya kulipua. Mawe hayo huwa nagawana na mwenye mgodi yeye akichukua 40%, Mimi nachukua 60% ya mawe. Kisha huwa nayabeba na kwenda kuyasaga karashani kwangu.

Saivi rudio limekuwa kubwa nakadiria gari za tani kumi 20. Sampo nikipima maabara inasoma 8ppm na zaidi. Mpaka saivi natoa faida kwenye biashara ya Dhahabu nahudumia Karasha, na Sasa nataka mlima uendelee kukua hadi mwakani mwezi may.

Changamoto ni pesa ya mtaji imezidiwa na matumizi ya Karasha kwani inapungua siku hadi siku. Kwa hiyo nitapambana kwa namna yoyote ili hadi kufikia mwakani mwezi wa sita nichenjue mlima.... Na hapo nikipata angalau kilo mbili za Dhahabu, nitapambania lessen ya u dealer. Na hapo nitaianza rasmi safari ya kuusaka ubilionea.

Vijana wenzangu wakike na wakiume ni wakati sahihi sasa wa kuamua kuzifuata ndoto zako. Wengi tunashindwa kuingia kwenye fulsa za biashara kwa kuamini kuwa hatuna mitaji. Nikwambie tu mtaji ni kitu kidogo sana kwenye biashara. Unaweza uwe na mtaji na ushindwe kufanya biashara ikakua. Hivyo kitu kikubwa kwenye biashara lazima uwe na confidence na utashi wa kuifanya hiyo biashara.

Nitoe mfano wa binti mmoja nimemfahamu anaitwa Diana (jina la uongo). Alikuwa anafanya biashara ya kujumua pombe kali anapeleka migodini.

Alikuwa anafuata mpakani Tunduma anakuja kuuza Chunya. Alianza na mtaji wa laki na nusu tokea 2019. Diana alifanya biashara hiyo kwa miezi saba akawa na hela kama laki 9. Akaamua kuongeza vitenge kwenye kufunga mzigo. Bahati mbaya siku moja akiwa kwenye usafiri gari ilipata ajali akavunjika mguu. Alitumia pesa karibia yote aliyokusanya kujiuguza.

Mpaka anapona alikuwa amebakiwa na kama laki mbili tu. Mguu ulipona vizuri. Alichofanya Diana aliamua kubadilisha biashara, alikodi fremu akafungua genge la mbogamboga. Amefanya biashara hii kwa mwaka, ikamlipa maradufu.

February ya mwaka huu alifungua grocery karibu na pale anapouzia mbogamboga. Bia ambazo zinauzwa 2500 bar yeye anauza buku jero. Savi mwezi November ameongeza duka la mitumba hapohapo karibu.

Nimemtolea mfano Diana kuonyesha ni jinsi gani unaweza kuwa na ndoto kubwa ya kumiliki benki, ukaanza na sh elfu hamsini kuitekeleza ndoto yako.

Panapo majaaliwa tukutane tena June 2022 hapahapa kupeana update.

Pole na majukumu na hongera sana mkuu ningependa kujulishwa sehemu husikua au kijiji unapofanya kazi zako maana hiyo ppm ya 8 ni nzuri sana
 
Hivi karasha lipi ni zuri hili ball mill crusher au hammer mill crusher nakuna hii jaw crusher naomben msaada hapo

Hivi karasha lipi ni zuri hili ball mill crusher au hammer mill crusher nakuna hii jaw crusher naomben msaada hapo
Naamini mcrounmj na akina Mathare watakuelezea hili kwa undani na kwa ufasaha zaidi kwani wao wako field. Tusubiri tu!
 
I have to subscribe. Nina take note mkuu naanda dodoso langu nitaliweka hapa na PM. Ninafanya study baada ya mwaka ninunue mitambo na niweke 30m. Biashara ikianza kutembea naacha kazi
 
Nakushauri ufanye kununua na kuuza huku ukiendelea nakuchimba. Utafilisika ukiendelea kuchimba na kuchenjua,i have been doing that for time now.don't start like that,it needs more capital and u may not get the required amount za kufidia gharama za uzalishaji.

Kama huna trader nicheki ntakuelekeza trader uwe unanunua kwa wachimbaji wengine nakuuza kwa trader uku unaendelea nakuchimba. Mimi nilikuwa na mtaji wa laki 5 sasaivi nina mil.9 baada yakuanguka mara kadhaa kujifunza adi nlipokaa sawa.nimefilisika mara nyingi.

Ninavokuambia apa nina hecta 200 mkoa wa ruvuma pekee nilichukua leseni lakini ninazochimba ni kama hecta 2 tu.ninanunua na kuuza zaidi.ninafanya gold na germstones za aina nyingi kama ruby,alexandrite,saphire,tomarin. Shida ya uko uliko ni dhahabu tu germstones ni chache sana. Uku navuna vyote.
Mkuu nimekutumia PM
 
Nakushaur shirikisha wataalam upate ushaur ndugu yangu...usije ukaja shtuka kumbe ushapoteza pesa nying...tushapita huko kaka...

Dhahab ya inch hii inataka ufaham unafanya nin...unaweza spend all ua time kumbe mahala hapo ppm znasoma ndogo sana .dhahab ipo ila ni fractions...kama unapesa na mtaj nashaur nenda kawekeze na kuhangaika eneo la kanda ya ziwa kitaalam/ki geologia tunaita nyanza region..hilo ndo limefanyiwa utafit na makampun makubwa dunian na ndomana migod mikubwa yote Tz ya dhahab iko ukanda huo kuanzia tabora mwanza kwenda mbele huko shinyanga..huku kwingne dhahab ni ya kubahatisha mno..ushaur tuu ndugu

Chunya inazalisha zaidi ya kilo 300 ya gold kwa mwezi kwanini aende kanda ya ziwa?

Makampuni makubwa yanamitaji mikubwa na yanataka mzigo mkubwa, faida ya 100M kwake inaweza kuwa kubwa ila kwa GGM it's nothing so kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake.
 
Back
Top Bottom