Mrejesho: Biashara ya Ufundi Simu

Sema kwenye kuflash kuwa makini, ila hardware haina shida
 
Sijajua mazingira uliyopo ila kunakuwaga na wanaoiba simu wanazitoa password, kwa arusha ndo hili swala lipo sana ila huko sijajua
Huku lipo saana mkuu dheria ni kuflash simu hadi mteja akuonyeshe na receipt hapo ntajitahidi saana niepuke matatizo hayo kaka
 
Hongera mkuu kwa mafanikio hayo, na kila la kheri katika kazi yako.
 
Upo wapi mzeya...simu yangu inazingua kucharge
 
Mkuu huo Uzi wa mwanzo uko wapi? Natamani Sana na mm part time nijifunze kutengeneza simu au TV hasa Flat TV maana zina hela sana
 
Natamani kuanzia mwezi watano katikati nipate kijana mmoja wakumfundisha kazi ili akiwa vizuri niwe namuacha golini naamia kwenye kujifunza ufundi tv maana nahisi nako kunafulsa pia
nipoo mkuu kijana wakujitolea hapa
 
mkuu embu tupe experience yako juu ya upatikanaji wa spare kwa ujumla ,je wewe unakaa karibu na wauza spare au huwa wazifata mbali
 
mkuu embu tupe experience yako juu ya upatikanaji wa spare kwa ujumla ,je wewe unakaa karibu na wauza spare au huwa wazifata mbali
Kwa hapa Tunduma Kuna soko linaitwa Manzese pale ndio spare ndogo ndogo huwa napata kama mic,speaker navifaa mbalimbali vya simu ila ikiwa nnashida na engine huwa nazifuata mbeya mjini mwanjerwa kunajamaa anaitwa Nyagawa boss
 
ok sawa sawa ,na je wewe hapo ulipo ni wewe tu au kuna mafund wengne pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…