Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 4,967
- 11,056
Nitajie Simu model gani ambazo ni nyingi unatengeneza, nitajaribu kutafuta notes..Duh notes nzuri saaana hizi kaka kama una za mobile repail zilizo simple hivi naziomba boss wangu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitajie Simu model gani ambazo ni nyingi unatengeneza, nitajaribu kutafuta notes..Duh notes nzuri saaana hizi kaka kama una za mobile repail zilizo simple hivi naziomba boss wangu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Kwa hapa nimedeal saana na hizi ndogo ndio sana ila kwa smart hadi sasa nimetengeneza hazifiki 10 smart zakutengeneza soft ware nimetengeneza 3 ambazo ni itel,tecno h6 na oppo r9 hizi mbili zilikuwa zina ganda yaan stack on logo na nyingine hii oppo ilikuwa nahisi ni yakikuu kwahiyo mtandao inasoma ila haidownload playstore ni hizo tuu lakini kwenye hard ware nimetengeneza smartphone kama 5 hivi infinix kubadili kioo kuna samsung iliingia maji kuna tecno moja ilikuwa haisomi mtandao na tecno nyingine chaji tatizo ahf kuna simu inajina la ajabu ajabu sijui lead me au readme hii tatizo lilikuwa ina sumbua battan ila nilichogundua smartfone nyingi eneo langu ni Tecno,Infinix na samsung kwa mbaali nimegundua hilo kutokana na uuzaji wa protector na makava protector zaid ya 20 zimetoka tangu naanza nyingi ni za tecno na infinix hivyo tuu bossNitajie Simu model gani ambazo ni nyingi unatengeneza, nitajaribu kutafuta notes..
Ahsante kaka ntajitahidi saana kuwa makini na hilochangamoto ya hiyo biashara ni kukamatwa na police kufunguliwa kesi ya wizi au kumiliki cm iliyoibwa sehem, ili usiingie matatani tafuta leseni otherwise itakuja kukuCost. Unaweza kutwa na cm ya mtu aliye uwawa na kuibiwa, yaaan hadi uje ujitetee vzuri ueleweke utakua umekaa mahabusu miezi ya kutosha...
Otherwise nikutakie baraka Mungu awe nawe
mkuu. naomba link na mimi nipakue
Nzuri saaana mkuuuMkuu hongera Sana. Umenitia moyo na Mimi.
Mimi ni graduate, ninajishughulisha na biashara za uchuuzi.
Kutokana na biashara kuwa ngumu na unakuta kuna siku unakaa masaa hata mawili bila kuona mteja......nikafikiri nifanye nini kwenye huu muda unaopotea bure?
Ndipo nilipojitosa kununua cherehani na nimeiweka hapa dukani kwangu .....najifunza ushonaji kupitia YouTube naamini baada ya miezi 6 nitakuwa fundi kabisa.
Mkuu hongera Sana. Umenitia moyo na Mimi.
Mimi ni graduate, ninajishughulisha na biashara za uchuuzi.
Kutokana na biashara kuwa ngumu na unakuta kuna siku unakaa masaa hata mawili bila kuona mteja......nikafikiri nifanye nini kwenye huu muda unaopotea bure?
Ndipo nilipojitosa kununua cherehani na nimeiweka hapa dukani kwangu .....najifunza ushonaji kupitia YouTube naamini baada ya miezi 6 nitakuwa fundi kabisa.
Nauza Duka la viatu nguo na vifaa vya cherehaniUnafanya biashara gani mkuu?