Mrejesho: Biashara ya Ufundi Simu

ok sawa sawa ,na je wewe hapo ulipo ni wewe tu au kuna mafund wengne pia
Hapa hapana mafundi kabisa halafu nisokoni kunakijisoko flan hivi local na kina kilabu chapombe zakienyeji,vigrocery viwili vitatu,mapool table yakutosha libraly zamuvi kama mbili hivi saloon zakunyoa vibanda vya mpesa ahf kunakaeneo wanauza mama mbogamboga kuna vibanda vyachips yaaan ni mazingila flani yamechangamka ila fundi simu nipo pekeangu brooh
 
Hongera na kila la heri..
Tukuanzishie safari yako ya ufundi TV na mafunzo kwa picha kwenye hiki kitabu 👇....
Duh notes nzuri saaana hizi kaka kama una za mobile repail zilizo simple hivi naziomba boss wangu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
sawa sawa mkuu, nlitaka kujua maana huku naona mafundi wengi wanakuwa eneo moja ,halafu kuna eneo hapa naona wanafata mafundi huko waliko alafu ni mbali kidogo na pamechangamka kiasi,so nlikua nafikiria nijitose hapa au nikatafute kasehem niungane nao tu kule walipo. lakin kufata vifaa ndo itakuwa na kaumbali kidogo kwa huku.
 
Sema hii biashara kwa kipindi kifupi nilichofanya kazi hii naona kwamba hata uwe katikati ya mafundi mia inatakiwa ujitifautishe na wengine tuu mfano kwenye upande wa uaminifu ni suala la kuzingatia saana boss ahf ubora wa huduma pia ni muhimu saana kama upo kwenye mafundi wengi pia kingine nilichojifunza kutoka kwamteja nikwamba epuka kuweka kijiwe golini pako hasa kujaza marafiki na watu wengine wakupiga story kama mpo wawili basi wote muwe authirised
Ni hivo tu boss
Saana ni hayo tuu
 
subiri kuwa mtaji wa polisi
Kilamtu angewaza hivyo nahsi kusingekuwa na biashara broh hizo mamb zipo na ukishajua kuwa zipo bas jua namna ya kuzikabili tu mfano kama ushajua matatizo ambayo polisi watakutinga ni kuhusu kuflash simu basi ni kujua namna ya kujilinda nao maana kama fundi simu polisi sana wanaweza kukutafuta kwa makosa mawili ambayo ni kuflash simu na kama unauza na simu used watakuwinda kwa ajiri ya kuuza simu za uwizi saana hayo ndio matatizo.
 

ujui hizo changamoto basi !.kusanya mtaji
 
umeeleweka sana mkuu
 
Mkuu nahitaji apo maelezo ya lipa namba uliipata ukiwa umeshakata leseni ya biashara au vp maaana na mimi nahitaji pia lakini saiv leseni bado
 
Mkuu nahitaji apo maelezo ya lipa namba uliipata ukiwa umeshakata leseni ya biashara au vp maaana na mimi nahitaji pia lakini saiv leseni bado
Me kunamtu alinitengenezea bila hata leseni japo wakwanza alinambia mpaka leseni ila wapili alinitengenezea tuu kwa nida na akanisajilia line bas nkasubili confirmation ndani ya siku5 nikawa nimeipata tayari hivyo tuu kaka
 
changamoto ya hiyo biashara ni kukamatwa na police kufunguliwa kesi ya wizi au kumiliki cm iliyoibwa sehem, ili usiingie matatani tafuta leseni otherwise itakuja kukuCost. Unaweza kutwa na cm ya mtu aliye uwawa na kuibiwa, yaaan hadi uje ujitetee vzuri ueleweke utakua umekaa mahabusu miezi ya kutosha...
Otherwise nikutakie baraka Mungu awe nawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…