Mrejesho: Biashara ya Ufundi Simu

Duh notes nzuri saaana hizi kaka kama una za mobile repail zilizo simple hivi naziomba boss wangu πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
Nitajie Simu model gani ambazo ni nyingi unatengeneza, nitajaribu kutafuta notes..
 
Nitajie Simu model gani ambazo ni nyingi unatengeneza, nitajaribu kutafuta notes..
Kwa hapa nimedeal saana na hizi ndogo ndio sana ila kwa smart hadi sasa nimetengeneza hazifiki 10 smart zakutengeneza soft ware nimetengeneza 3 ambazo ni itel,tecno h6 na oppo r9 hizi mbili zilikuwa zina ganda yaan stack on logo na nyingine hii oppo ilikuwa nahisi ni yakikuu kwahiyo mtandao inasoma ila haidownload playstore ni hizo tuu lakini kwenye hard ware nimetengeneza smartphone kama 5 hivi infinix kubadili kioo kuna samsung iliingia maji kuna tecno moja ilikuwa haisomi mtandao na tecno nyingine chaji tatizo ahf kuna simu inajina la ajabu ajabu sijui lead me au readme hii tatizo lilikuwa ina sumbua battan ila nilichogundua smartfone nyingi eneo langu ni Tecno,Infinix na samsung kwa mbaali nimegundua hilo kutokana na uuzaji wa protector na makava protector zaid ya 20 zimetoka tangu naanza nyingi ni za tecno na infinix hivyo tuu boss
 
Ahsante kaka ntajitahidi saana kuwa makini na hilo
 
Mkuu hongera Sana. Umenitia moyo na Mimi.
Mimi ni graduate, ninajishughulisha na biashara za uchuuzi.
Kutokana na biashara kuwa ngumu na unakuta kuna siku unakaa masaa hata mawili bila kuona mteja......nikafikiri nifanye nini kwenye huu muda unaopotea bure?
Ndipo nilipojitosa kununua cherehani na nimeiweka hapa dukani kwangu .....najifunza ushonaji kupitia YouTube naamini baada ya miezi 6 nitakuwa fundi kabisa.
 
Nzuri saaana mkuuu
 

Unafanya biashara gani mkuu?
 
Mimi niliishia kununua meter tuπŸ€”πŸ˜­
 
kwa experience yako mkuu kama nataka kujifunza seriously naweza kuchukua miezi mingapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…