Mrejesho: Biashara ya Ufundi Simu

Bossprota Nimeupenda sana huu uzi jinsi unavyohamasisha vijana wengine wajihusishe na ujasiriamali kama wew! Nipo Mbeya mjina siku nikija Tunduma nitapitia hapo ofisini kwako kupata mawili matatu!
 
Msaada kama kunafund anaepatikana gongolamboto naomba jion niwe naenda kwake kujifunza mawili matatu kuhusu ufund cm najua hakuna kitu cha bule anaeweza ni pm ili tujadiliane kuhusu gharama
 
Asante kwa elimu
 
Hakuna pesa Tamu kama ile unaitengeneza mwenyewe kihalali na unaona kabisa inakua. Inatia moyo sana. Hongera ndugu.
 
Uzi huu uendelee,mkuu kwa Sasa umepiga hatua kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…