DMCT
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 2,276
- 5,937
Wakuu salute.... Nimekuja humu nilikuwa na shida ya demu wangu kung'ang'ania geto toka jana.. Nashkuru wadau mmenpa ushauri amekubali kuondoka nimemueleza umuhm wa shule na kumwmbia kuwa nampenda tamuoa mda ukifika kinyonge sana amekubali kwenda home japo sijui kama hatarudishwa.... NIMEKOMA NA SIRUDII TENA..