Mrejesho: Binti aliyekataa kutoka Geto ametoka

Mrejesho: Binti aliyekataa kutoka Geto ametoka

Endelea kutoa mirejesho mpaka yatakapokutokea puani
 
Wakuu salute.... Nimekuja humu nilikuwa na shida ya demu wangu kung'ang'ania geto toka jana.. Nashkuru wadau mmenpa ushauri amekubali kuondoka nimemueleza umuhm wa shule na kumwmbia kuwa nampenda tamuoa mda ukifika kinyonge sana amekubali kwenda home japo sijui kama hatarudishwa.... NIMEKOMA NA SIRUDII TENA..
Aseee
 
Back
Top Bottom