Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio.. Japan kuna hd tim ya mpira wa miguu inaitwa Kumamoto.. I hope inatokea mji wa Kumamoto.. [emoji85] [emoji85]Haitokei mara nyingi nafasi kama hizi ngoja niitumie vizuri sasa NYEGE kwanini hukumpa ofa ya kutembelea Kumamoto Japan ?
hahha, hata mlioko Dar ni wazaliwa wa mikoani, hivyo hata huyu Nyege akiwa mkubwa anaweza kuja kushi Dar na jina lake hilo hilo tehe teheWatu wa mikoani mna majina ya ajabu!
Eti NYEGE.
mmmmmmmmmh! Shandong, haya majina ya miji ni hatariNdio.. Japan kuna hd tim ya mpira wa miguu inaitwa Kumamoto.. I hope inatokea mji wa Kumamoto.. [emoji85] [emoji85]
marvelous! aiseeehizi mila sio kabisa, mimi mke wangu alienda kujifungulia kwao na akawa analia sana usiku yaan hawalali.. wakamfuata bibi mmoja akawaambia kuwa mtoto analilia jina la nyanya wake (yaani bibi wa mama yangu). Nilipomweleza mother akasema mleteni kama akiendelea kulia baada ya kuletwa kwangu tutampa hilo jina.. lakini baada ya kumeet na mother akaacha kulia.
ni kweli kabisa, niliwahi pewa story na marehemu bibi yangu kuwa baba yangu nae alikuwa analia lia sana alipokuwa ananyonya, hanyi wala kukojoa, kila wanapoenda wanaambiwa itabidi aitwe jina la babu wa baba yake, na alivyoitwa hivyo tu alikojoa, kunya na kucheka hapo hapo, inaonekana kabisa haya mambo yapohahahah nakwambia hapa JF wananichekesha sana!
Ahsante Akajasembamba kwa kushirikishana uzoefuni kweli kabisa, niliwahi pewa story na marehemu bibi yangu kuwa baba yangu nae alikuwa analia lia sana alipokuwa ananyonya, hanyi wala kukojoa, kila wanapoenda wanaambiwa itabidi aitwe jina la babu wa baba yake, na alivyoitwa hivyo tu alikojoa, kunya na kucheka hapo hapo, inaonekana kabisa haya mambo yapo
Ahsanteeeeeeekaribu tena wakwetu...
Ni kwamba, mtoto huyo anaitwa NYEGE, historia ya kupewa jina hilo kwa maelezo ya mama yake ni kwamba mtoto NYEGE alipozaliwa alipewa jina lingine lakini akawa analia sana usiku na mchana hapo ndipo ilibidi wazazi wake waende kwa "WATAALAMU" na huko iligundulika kuwa mtoto huyo analilia jina la mzee ambaye ni marehemu katika ukoo huo alikuwa anaitwa NYEGE na kwamba kama wanataka kunusuru maisha ya mtoto huyo basi waache kumuita lile jina la awali walilokuwa wamempa na rasmi mtoto huyo aitwe jina na babu yake marehemu mzee NYEGE. Mama alizidi kunieleza kuwa baada kuzingatia ushauri wa MTAALAMU wa kumpa mtoto jina la NYEGE basi mtoto siku hiyo hiyo aliacha kulia, akawa buheri wa afya hadi mie nilivyomuona yuko darasa la nne, na kwamba shuleni imebidi aandikwe jina hilo hilo.
Kwahiyo mtoto NYEGE kumbe wazazi wake wangekaidi kumuita hilo jina labda tusingekuwa naye hapa duniani muda huu! ahsante mila zetu za kiafricaShemeji habari, jana mchana ilitokea bahati nikasikiliza kipindi cha Njia Panda cha Clouds FM, kwenye kipindi hicho aliyekuwa anahojiwa anaitwa Mganga, mwongozaji wa kipindi akamuuliza ni mganga wa nini?
Jamaa akasema ni jina tu alipewa na wazazi kwa ushauri wa mtaalamu, akasema mama yake alikuwa kila akijifungua mtoto anafariki, kwa hiyo ndipo akapiga rada zake na kushauri mtoto akizaliwa aitwe Mganga, alizaliwa mwaka 1968, yupo anaendelea na maisha.
Niliposikia hivyo nikaikumbuka hii thread yako.
[emoji23] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji31] [emoji31] uuwii mbavu zangu eeh ngoja mida ya wanga ipite tarejeaNawasalimu wote humu JF kwa kuzingatia utukufu wa aliyejuu.
Ninayo furaha kuwajulisha kuwa nimetoka vijijini nilipokuwa na sasa niko hapa Mwanza town.
Katika safari yangu huko vijijini niliona, kusikia na kushiriki mambo mengi,lakini kuna hili ambalo ninaomba niwashirikishe.
Issue yenyewe ni kwamba nilikuta mtoto wa kiume yuko darasa la nne anaitwa jina ambalo kusema kweli halina "ladha" kulitamka mdomoni. Baada ya kusikia jina hilo ilibidi nimuulize mama wa mtoto huyo ilikuwaje hadi kumuita mwanae jina ambalo halinogi?
Ni kwamba, mtoto huyo anaitwa NYEGE, historia ya kupewa jina hilo kwa maelezo ya mama yake ni kwamba mtoto NYEGE alipozaliwa alipewa jina lingine lakini akawa analia sana usiku na mchana hapo ndipo ilibidi wazazi wake waende kwa "WATAALAMU" na huko iligundulika kuwa mtoto huyo analilia jina la mzee ambaye ni marehemu katika ukoo huo alikuwa anaitwa NYEGE na kwamba kama wanataka kunusuru maisha ya mtoto huyo basi waache kumuita lile jina la awali walilokuwa wamempa na rasmi mtoto huyo aitwe jina na babu yake marehemu mzee NYEGE. Mama alizidi kunieleza kuwa baada kuzingatia ushauri wa MTAALAMU wa kumpa mtoto jina la NYEGE basi mtoto siku hiyo hiyo aliacha kulia, akawa buheri wa afya hadi mie nilivyomuona yuko darasa la nne, na kwamba shuleni imebidi aandikwe jina hilo hilo.
mmmmmh! mambo ya mila hayo! sikujua kama mtoto anaweza kulilia jina la marehemu mababu na mababu.
Mshana jr, unasemaje kwenye hili na wataalamu wengine wa masuala ya kijamii naombeni uzoefu wenu.
[emoji23] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji31] [emoji31] uuwii mbavu zangu eeh ngoja mida ya wanga ipite tarejea
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mkuu hapa Vipi mbona umepitezea Jibu lako [emoji23][emoji23][emoji23]
BANNED
Mshana Jr umekosa jibu kweli ?? Maana Mtoto wangu alikuwa analiaga wakata kumpa jina lingine ....nikawaambia kama sio wakwangu mbadilishieni Ila kama ni wa kwangu tuheshimianeee .....sema Mshana toa Experience yako hapa [emoji23][emoji23][emoji707]
Kuna vitu vina nguvu hicho ni kimoja wapoMshana Jr umekosa jibu kweli ?? Maana Mtoto wangu alikuwa analiaga wakata kumpa jina lingine ....nikawaambia kama sio wakwangu mbadilishieni Ila kama ni wa kwangu tuheshimianeee .....sema Mshana toa Experience yako hapa [emoji23][emoji23][emoji707]
BANNED