Mrejesho: Chikira Mtabari natoa mrejesho wa nilipokuwa

Hayo ni majina tegemea na eneo husika mfano wajapan,congo nkbaadhi ya majina yao huku ni matusi kitafusiri.
Km ilivo MTO ngono,nyege,nk
 
Watu wa mikoani mna majina ya ajabu!
Eti NYEGE.
hahha, hata mlioko Dar ni wazaliwa wa mikoani, hivyo hata huyu Nyege akiwa mkubwa anaweza kuja kushi Dar na jina lake hilo hilo tehe tehe
 
Ndio.. Japan kuna hd tim ya mpira wa miguu inaitwa Kumamoto.. I hope inatokea mji wa Kumamoto.. [emoji85] [emoji85]
mmmmmmmmmh! Shandong, haya majina ya miji ni hatari
 
marvelous! aiseee
 
hahahah nakwambia hapa JF wananichekesha sana!
ni kweli kabisa, niliwahi pewa story na marehemu bibi yangu kuwa baba yangu nae alikuwa analia lia sana alipokuwa ananyonya, hanyi wala kukojoa, kila wanapoenda wanaambiwa itabidi aitwe jina la babu wa baba yake, na alivyoitwa hivyo tu alikojoa, kunya na kucheka hapo hapo, inaonekana kabisa haya mambo yapo
 
Ahsante Akajasembamba kwa kushirikishana uzoefu
 

Shemeji habari, jana mchana ilitokea bahati nikasikiliza kipindi cha Njia Panda cha Clouds FM, kwenye kipindi hicho aliyekuwa anahojiwa anaitwa Mganga, mwongozaji wa kipindi akamuuliza ni mganga wa nini?

Jamaa akasema ni jina tu alipewa na wazazi kwa ushauri wa mtaalamu, akasema mama yake alikuwa kila akijifungua mtoto anafariki, kwa hiyo ndipo akapiga rada zake na kushauri mtoto akizaliwa aitwe Mganga, alizaliwa mwaka 1968, yupo anaendelea na maisha.

Niliposikia hivyo nikaikumbuka hii thread yako.
 
Kwahiyo mtoto NYEGE kumbe wazazi wake wangekaidi kumuita hilo jina labda tusingekuwa naye hapa duniani muda huu! ahsante mila zetu za kiafrica
 
[emoji23] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji31] [emoji31] uuwii mbavu zangu eeh ngoja mida ya wanga ipite tarejea
 
Mkuu hapa Vipi mbona umepitezea Jibu lako [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji31] [emoji31] uuwii mbavu zangu eeh ngoja mida ya wanga ipite tarejea


BANNED
 
Kuna vitu vina nguvu hicho ni kimoja wapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Chikira Mtabari Alikuwa Wa Kike Au Kiume? Na Huyu NAHUJA Je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…