MREJESHO:First date naomba ushauri wenu.

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Habari zenu wana chit-chat.Jana nilibandika bandiko langu la kuomba ushauri kuhusu my first date na binti niliyemfukuzia almost 2 years.Nashukuru wadau mlinipa mbini na ushauri mbalmbali kwenye hili jukwaa wengine pm.
Naleta mrejesho sasa kwenu ili mnipe mbinu zingine.
Girl alifurahi sana mtoko wa leo amenishukuru tena sana amenipa sifa kuwa mimi ni real gentleman. Wakuu nime aplai mbinu zote wala sikuwa na pupa ya kuomba gemu.Girl ameomba next time anataka kuja ghetto kwako kuongea nimwembaia asiwe na hofu muda wowote anaweza kuja.Sasa wadau mi nazani raund hii ni muafaka kwa kula mzigo akija ghetto.Au muda bado nisubiri
NB.Alisema akija anaishia setting room tu

great thinker
 
ghetto si disco huyo kaingia king mwenyewe.
Kunja nne subiri papuchi hiyo mkuu
 
tununulie hata Pepsi na wew[emoji32]
hakikisha unasafisha nyumba inakuwa safi usela tupa kule tandika kitanda
minguo yako uikunje ikae smart
siyo anakutana na soksi mlangoni Mara taulo limening'inizwa kwenye kiti
kuusu kupika kama hujui kamnunulie tu
don't rush kwa sex again just kiss ila akiamua mwenyew it's ok
mwisho msifie na kumshukuru kwakuja kukutembelea
 
Mkuu hiyo mali yako, lakini kumbuka usioneshe kua kua unataka mzgo kiviile hiyo itakujaa tu atomatically yaan wewe utaona fanya unataka hutaki.. huku ukijikaza kiume lkn mwisho unachimbua madini

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hizi mambo za kufanya usafi ndio zinafanya mwanamke akuone msafi kumbe mchafu mwisho wa siku akiingia mazima kwenye uhusiano yanamshinda maana anakugundua ni mchafu.

Mkuu usifanye usafi wowote hicho ndio kipimo cha kujua kuwa huyo ni mke au wa kuosha rungu. Kama ni mke atafanya usafi au Kama ataona aibu atakwambia utafute mtu wa kukufanyia usafi au atakuja siku ya karibuni aje kufanya usafi. In short be yourself if at all you are planning to make her a wife
 
Nimekusoma mkuu nitahakikisha mazingira ya istizuu yako fresh

great thinker
 
Mkuu hiyo mali yako, lakini kumbuka usioneshe kua kua unataka mzgo kiviile hiyo itakujaa tu atomatically yaan wewe utaona fanya unataka hutaki.. huku ukijikaza kiume lkn mwisho unachimbua madini

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuu lazima niwe mtulivu siku ya tukio

great thinker
 
hongera boss...nadhani ushaiandaa 'setting room' yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…