Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Habari zenu wana chit-chat.Jana nilibandika bandiko langu la kuomba ushauri kuhusu my first date na binti niliyemfukuzia almost 2 years.Nashukuru wadau mlinipa mbini na ushauri mbalmbali kwenye hili jukwaa wengine pm.
Naleta mrejesho sasa kwenu ili mnipe mbinu zingine.
Girl alifurahi sana mtoko wa leo amenishukuru tena sana amenipa sifa kuwa mimi ni real gentleman. Wakuu nime aplai mbinu zote wala sikuwa na pupa ya kuomba gemu.Girl ameomba next time anataka kuja ghetto kwako kuongea nimwembaia asiwe na hofu muda wowote anaweza kuja.Sasa wadau mi nazani raund hii ni muafaka kwa kula mzigo akija ghetto.Au muda bado nisubiri
NB.Alisema akija anaishia setting room tu
great thinker