Mrejesho: Forex ya Ontario

Mrejesho: Forex ya Ontario

  • Kwa jinsi dunia ilivyo kuna watu wataendelea kuwa maskini hata wakipewa fursa nzuri ya kuweza kumaliza umskini wao
  • kuna wengine they become too cautious that they miss out good opportunity,
  • kuna wengine wataipokea fursa ila hawatafuata kanuni za mchezo na kupoteza kwa makosa yao Ila hawataacha mtafuta mbuzi wa kafara kwa kupoteza kwao,
  • wapo pia watakaofaninkiwa sana ktk hiyo fursa kwa sababu walifuata vyema maelekezo,na walijifunza kutokana na makosa yao ,pia walijengeka vyema kisaikolojia hata kabla ya kufunuliwa fursa husika .
Forex ni biashara na inalipa vyema Ila inategemeana na muhusika mwenyewe kama ana utayari wa kufanikiwa na anaamini inawezekana.

Ni ngumu sana kufanikiwa ktk kitu ambacho kwanza umeanza kuwa na doubt nacho.
 
  • Kwa jinsi dunia ilivyo kuna watu wataendelea kuwa maskini hata wakipewa fursa,
  • kuna wengine they become too cautious that they miss opportunity,
  • kuna wengine wataipokea fursa ila hawatafuata kanuni za mchezo na kupoteza kwa makosa yao Ila hawataacha mtafuta mbuzi wa kafara kwa kupoteza kwao,
  • wapo pia watakaofaninkiwa sana ktk hiyo fursa kwa sababu walifuata vyema maelekezo,na walijifunza kutokana na makosa yao ,pia walijengeka vyema kisaikolojia hata kabla ya kufunuliwa fursa husika .
Forex ni biashara na inalipa vyema Ila inategemeana na muhusika mwenyewe kama ana utayari wa kufanikiwa na anaamini inawezekana.

Ni ngumu sana kufanikiwa ktk kitu ambacho kwanza umeanza kuwa na doubt nacho.
Huu ndio mrejesho wako
 
Kiongozi, mimi ni mmoja ya waliokuwa wanasubiria muendelezo mara baada ya kusoma ile thread ya utambulisho wa Forex, lkn nilipata changamoto apo kati sikuwa mtandaoni kabisa.. baada ay kusoma hii.. nahisi darasa lishaanza.. naomba kujuzwa kidogo ili nami nijue nianzie wapi tafadhali!
 
Tangu jana mpaka sasa kimya ujue hakuna manufaa [emoji28] [emoji28] [emoji28] ukute wapo walioliwa wanaona aibu kujitoa kimasomaso kuchekwa
Nilivyoenda mirerani niliwashangaa sana wakazi wa eneo hilo wanaishi kwenye nyumba za nyasi wakati watu wanatoka kila pembe ya dunia na kuja kuchota utajiri hapo kwao.

Mkuu endelea kulala kwenye nyumba za nyasi, sisi tunaendelea kuchota pesa kwenye Forex

[HASHTAG]#the[/HASHTAG] blue team
 
Haya
 
Kama kawaida the blue team tunasonga
Juzi kabla soko halijafungwa nimeingiza $15 from mtaji wangu wa $100 yani nimeingiza 15% ya mtaji in a day

ONTARIO , Cre and Rea nyie ni malaika mnaoishi duniani [emoji120] [emoji120]

The [HASHTAG]#TMT[/HASHTAG] forever
6703bf2ff72d6860a379b4796d007c24.jpg
Huyu Cre ni friend wangt kule FB, AIsee jmaa yuko poa sana.
 
Nilivyoenda mirerani niliwashangaa sana wakazi wa eneo hilo wanaishi kwenye nyumba za nyasi wakati watu wanatoka kila pembe ya dunia na kuja kuchota utajiri hapo kwao.

Mkuu endelea kulala kwenye nyumba za nyasi, sisi tunaendelea kuchota pesa kwenye Forex

[HASHTAG]#the[/HASHTAG] blue team
Mkuu usiamushe walio lala waache....ngoja tuchote pesa tutawaajili week hii binafsi nimelala na 250$ kutok kweny mtaji wangu Wa 200$
 
Nimefuatilia thread zote za Ontario na Forex yake na nimegundua yafuatayo.
1: Hii biashara sio real maana hakuna biashara ya kupata faida tu au asilimia kubwa wanapata tu faida hakuna hasara.
2:Huwez kupata ukwel wa hii biashara kuputia jf maana Ontario anapata faida kubwa kwa training na jf wanapata %.
3: Thread na comments za wanaosema ukwel zinafutwa maprma sana ivyo ni ngumu kupata upande wa pili wa story.
 
  • Kwa jinsi dunia ilivyo kuna watu wataendelea kuwa maskini hata wakipewa fursa nzuri ya kuweza kumaliza umskini wao
  • kuna wengine they become too cautious that they miss out good opportunity,
  • kuna wengine wataipokea fursa ila hawatafuata kanuni za mchezo na kupoteza kwa makosa yao Ila hawataacha mtafuta mbuzi wa kafara kwa kupoteza kwao,
  • wapo pia watakaofaninkiwa sana ktk hiyo fursa kwa sababu walifuata vyema maelekezo,na walijifunza kutokana na makosa yao ,pia walijengeka vyema kisaikolojia hata kabla ya kufunuliwa fursa husika .
Forex ni biashara na inalipa vyema Ila inategemeana na muhusika mwenyewe kama ana utayari wa kufanikiwa na anaamini inawezekana.

Ni ngumu sana kufanikiwa ktk kitu ambacho kwanza umeanza kuwa na doubt nacho.
Imekulipa?
 
Back
Top Bottom