TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,290
Kwani kubet sio kweliForex ni ya kweli siyo kubet mkuu
Tangu jana mpaka sasa kimya ujue hakuna manufaa [emoji28] [emoji28] [emoji28] ukute wapo walioliwa wanaona aibu kujitoa kimasomaso kuchekwa
Huu ndio mrejesho wakoForex ni biashara na inalipa vyema Ila inategemeana na muhusika mwenyewe kama ana utayari wa kufanikiwa na anaamini inawezekana.
- Kwa jinsi dunia ilivyo kuna watu wataendelea kuwa maskini hata wakipewa fursa,
- kuna wengine they become too cautious that they miss opportunity,
- kuna wengine wataipokea fursa ila hawatafuata kanuni za mchezo na kupoteza kwa makosa yao Ila hawataacha mtafuta mbuzi wa kafara kwa kupoteza kwao,
- wapo pia watakaofaninkiwa sana ktk hiyo fursa kwa sababu walifuata vyema maelekezo,na walijifunza kutokana na makosa yao ,pia walijengeka vyema kisaikolojia hata kabla ya kufunuliwa fursa husika .
Ni ngumu sana kufanikiwa ktk kitu ambacho kwanza umeanza kuwa na doubt nacho.
Nimeshatoa mrejesho mara kadhaa , na kuna watu bado hawaamini kwa hiyo unawaacha waendelee na kutoamini kwao .Huu ndio mrejesho wako
Nilivyoenda mirerani niliwashangaa sana wakazi wa eneo hilo wanaishi kwenye nyumba za nyasi wakati watu wanatoka kila pembe ya dunia na kuja kuchota utajiri hapo kwao.Tangu jana mpaka sasa kimya ujue hakuna manufaa [emoji28] [emoji28] [emoji28] ukute wapo walioliwa wanaona aibu kujitoa kimasomaso kuchekwa
HayaNilivyoenda mirerani niliwashangaa sana wakazi wa eneo hilo wanaishi kwenye nyumba za nyasi wakati watu wanatoka kila pembe ya dunia na kuja kuchota utajiri hapo kwao.
Mkuu endelea kulala kwenye nyumba za nyasi, sisi tunaendelea kuchota pesa kwenye Forex
[HASHTAG]#the[/HASHTAG] blue team
Huyu Cre ni friend wangt kule FB, AIsee jmaa yuko poa sana.Kama kawaida the blue team tunasonga
Juzi kabla soko halijafungwa nimeingiza $15 from mtaji wangu wa $100 yani nimeingiza 15% ya mtaji in a day
ONTARIO , Cre and Rea nyie ni malaika mnaoishi duniani [emoji120] [emoji120]
The [HASHTAG]#TMT[/HASHTAG] forever
Mkuu usiamushe walio lala waache....ngoja tuchote pesa tutawaajili week hii binafsi nimelala na 250$ kutok kweny mtaji wangu Wa 200$Nilivyoenda mirerani niliwashangaa sana wakazi wa eneo hilo wanaishi kwenye nyumba za nyasi wakati watu wanatoka kila pembe ya dunia na kuja kuchota utajiri hapo kwao.
Mkuu endelea kulala kwenye nyumba za nyasi, sisi tunaendelea kuchota pesa kwenye Forex
[HASHTAG]#the[/HASHTAG] blue team
Imekulipa?Forex ni biashara na inalipa vyema Ila inategemeana na muhusika mwenyewe kama ana utayari wa kufanikiwa na anaamini inawezekana.
- Kwa jinsi dunia ilivyo kuna watu wataendelea kuwa maskini hata wakipewa fursa nzuri ya kuweza kumaliza umskini wao
- kuna wengine they become too cautious that they miss out good opportunity,
- kuna wengine wataipokea fursa ila hawatafuata kanuni za mchezo na kupoteza kwa makosa yao Ila hawataacha mtafuta mbuzi wa kafara kwa kupoteza kwao,
- wapo pia watakaofaninkiwa sana ktk hiyo fursa kwa sababu walifuata vyema maelekezo,na walijifunza kutokana na makosa yao ,pia walijengeka vyema kisaikolojia hata kabla ya kufunuliwa fursa husika .
Ni ngumu sana kufanikiwa ktk kitu ambacho kwanza umeanza kuwa na doubt nacho.
Haha tuelezeniMkuu tunaugulia kimyakimya hayakuhusu