Mrejesho: Forex ya Ontario

Serikali itaingilia kati sasa
 
Hakuna haja ya mrejesho....nyie hamuiamini forex alafu kila siku mnataka mirejesho? chakufanya ni kufanya kama hujawahi kuisikia alafu endelea na michakato mingine
 
Mkuu wala usibadilike baki hvohvo ukiamini Forex Ni utapeli!!!!hata mm wamenitapeli kwan week peeke Ni faida ya 250$ kutok mtaji wangu Wa 200$
 

Kuna jamaa yangu mmoja ni Mzimbabwe ..anacheza hyo kitu..anasema currency now zina fluctuate sana..ni bora kusubili adi November, au december
 
We mleta mada ni mnafiki we unasema umeudhuria training ya arusha inakuaje ushindwe kuamin kama forex inalipa au hailipi wakat kila training zinahusisha kutrade kwa pamoja na walimu wanakupa maelekezo
Wewe siyo mnafiki
 
Ukweli ni kwamba hii biashara sio nzuri kwa all investors, ata kama tutaudhulia mafunzo pamoja,ndio maana hawashauli kila MTU haifanye,kuna kitu inaitwa 90/90/90 rule,ikiwa na maana kwamba 90% of all beginning traders loose 90% of their capital within 90 days yaani miezi 3,so kuna watakaofanikiwa kama watajaribu kuzingatia wanayoambiwa ila kama hutokua makini na kupenda kujifunza mwaaaafaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…