Mrejesho : Hatimaye arsenal kakubali mualiko

Mrejesho : Hatimaye arsenal kakubali mualiko

sir mweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2017
Posts
495
Reaction score
573
Dear arsenal,
Nashkuru sana kwa kukubali mwaliko wa kuja kuchukua zawadi yako ya nafasi ya sita. Kama nilivyokwisha kusema mwanzoni kuwa nafasi hii nilipewa na kuambiwa niitunze paka nitakapompata mwaminifu kama mimi nimpatie, hatimaye nikakupata wewe. Natumai utaitunza paka mwisho wa msimu.
Nikutakie mafanikio mema katika safari yako ya kukaa benchi msimu ujao ukitutazama tukicheza UEFA mwakani.
Wako mpendwa
Manchester United à. k. a kidume.
 
Back
Top Bottom