Mrejesho: Hatimaye nimeanza kung'aa kisawa sawa

Mrejesho: Hatimaye nimeanza kung'aa kisawa sawa

Dah, shida zote hizi ni kwaajili ya mabaharia tu. Alafu wenyewe wakobize na chura
 
Dada angu yaani mara mia ungepaka ata carolight kuliko hiyo lotion mwanzo utang'a a sana kama ulivyo hvo ila subir ukate mwezi utajuta kutumia hyo creme. Kwanza utatoka chunusi kubwa kama majibu.

Pili white spots zitakujaa miguun, tatu ni creme yenye hydroquinon nyingi sana japo kwenye kopo lake wameandika "with no hydroquinon" .. ushaur wangu achana nayo mara moja tafuta lotion nzuri ambayo haina kemikali.
Unazungumzia Creme inayoitwa jina gani? Nimefuatilia kwenye uzi sijaona jina la creme inayozungumziwa......
 
Natamani kuelewa tofauti ya kung'aa na kujichubua..... Kwa uelewa wangu kung'aa ni subset ya kujichubua.


Unatumia lotion unang'aa kwa siku 5..... This is very serious.😂😂😂😂
Tofauti yake ni kama rushwa na takrima yani maana ile ile ila unapunguza ukali kidogo
 
nimeona hiii inakupa weupe wa kiarabu si itakuwa inachubua hapa penyewe ni mweupe pee nitaharibika
Ujasoma vizuri bhana,basi kama ni mweupe sana tumia haya ni mazuri
19EA4103-49BF-4DA3-AC6B-E7B1E9951B12.jpeg
 
Mi Natumia Vaseline Lotion ile ya rangi ya Ugoro Sabuni Natumia Alovela Soap Nanawia Naacha kama Dakika tano yani Sina Gharama Uso Uko Soft tu Nawashauli vitu vya Bei Ndogo kumbe Ndo Vizuri Jamani Zamani Nilikuwa Natumia Vipodozi Vya Bei Saana hata Uso Unakosa Mvuto Nimejalibu Kukopy ili Nitume Humu Imekataa
vipi bado unang'aa
 
Perfect niliwah kutumia miaka miwili nyuma, yaan baada ya siku 3 tu nikawa mweupe hatari nikaogopa nikaacha, ina chubua hatari.
Sasa hivi napaka glycerine ya movit, ni nzuri unakuwa naturally, lainii na ngozi inateleza kama ya mtoto.
hatari sana.full kunga'aa
 
Delicious ndio mleta mada?
[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
 
Back
Top Bottom