stanleyRuta
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 851
- 519
- Thread starter
-
- #41
cement aina gani? twiga , rhino, simba, tembo ya pakistani ?
Hongera Sana mkuu stanleyRuta Mungu akupe zaidi....
Vyote nikujilipua mkuu.kuoa tiyari nilibakiza hili tu
Hongera sana,maana umekuwa muwazi hadi kwenye Mtaji.8.5m mkuu
Nashukuru sana mkuu kwa kunipa moyo, suala ubora nalifuatilia sana mkuu nko makini
Nikupe mawili ya tahadhali katika biashara ya hard ware,
Moja ogopa sana au usithubutu kununua mali za magendo, kaka zinafaida ya haraka na kubwa, ila unaweza kufa, jitahidi kulipa kodi vizuri, japo utaumia sana mwanzoni,ndio kujenga jina mkuu. Maua ya dunia yatakufuata sana, mwisho utaishia kutumia mashudu, jamaa zangu kibao pale Buguruni, wanaishi kwa buster.
Na mwisho, jitahidi sana kuyakwepa mafeki, japo mafeki yanaingiza hela haraka, ila ushindani ni mkubwa, kujenga jina utakaa kidogo.
Hapa Sijakupata
1.utaumia sana mwanzoni
2.maua ya dunia yatakufuata sana
3.utaishia kutumia mashudu
4.wanaishi kwa buster
Ahsante
Hapa Sijakupata
1.utaumia sana mwanzoni
2.maua ya dunia yatakufuata sana
3.utaishia kutumia mashudu
4.wanaishi kwa buster
Ahsante
Mungu akubariki sana, ufanikiwe mpaka utosheke kwa baraka
Jiongeze mkuu
1.Mwanzo wa biashara halali kodi huwa ni mzigo mzito kwa sababu inakuwa haijaanza kuingiza faida kubwa
2.Mademu watakufuata sana si unajua mademu wakihisi sehemu kuna slope a.k.a gradient?
3 na 4 madhara ya mambo yetu yaleee.....ARV zitahusika,kuwa makini.
Kwa nyongeza tumsubiri mkuu Malila
Jiongeze mkuu
1.Mwanzo wa biashara halali kodi huwa ni mzigo mzito kwa sababu inakuwa haijaanza kuingiza faida kubwa
2.Mademu watakufuata sana si unajua mademu wakihisi sehemu kuna slope a.k.a gradient?
3 na 4 madhara ya mambo yetu yaleee.....ARV zitahusika,kuwa makini.
Kwa nyongeza tumsubiri mkuu Malila