Mrejesho: Hatimaye nimepona fungus za sehemu za siri...

Mrejesho: Hatimaye nimepona fungus za sehemu za siri...

Decoration

Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
63
Reaction score
89
Salute sana watumiaji wenzangu wa jamiiforum aka wanamember...

Nilileta uzi huu hapa nikizungumzia mateso niliyokua napata ya fungus za sehemu za siri nilivyokua nateseka

Niliteseka sana na hizi fungus nilikua nawashwa na uume na sehemu nyingine mwilini hadi nilikua nashindwa kukaa mbele za watu

Usiku ilikua balaa unawashwa mpaka unahisi kuna labda wadudu wanapita ndani ya uume wakitekenya huko....

Nilifanya hivi kupona;'-

Kwanza nilielewa hadi nichukue dawa ya meno ya colgate kidogo tu nichanganye na maji ya limao au ndimu kijiko kimoja nilichanganya niliambiwa nipake kwenye uume...Kwanza ukipaka inauma sana kwa sekunde tano kisha panapoa hii nilitumia nilipata nafuu usiku huo tu kesho maumivu yalirudi...

NJIA SAHIHI ILIYONIPONYESHA MOJA KWA MOJA NI HII:---

Tangawizi mbichi na limao

Unachukua tangawizi mbichi kipande kikubwa unaosha vizuri....Unaparua kisha unaponda,au kama una blenda unasaga baada ya hapo....unachukua hiyo tangawizi ulokwisha kuiponda unachanganya na maji kikombe moja cha chai au glass moja ndogo unakamulia huko na limao kipande moja au limao zima kisha unakunywa hiyo juice yako yote unakunywa pamoja na yale machicha ya tangawizi bila kuyamwaga....

Kunywa glass moja asubuhi na moja usiku kabla ya kulala....fanya hivyo kila siku kwa siku 5 mpaka 7 utakuja kunipa mrejesho

Mimi hii juice nilivyokunywa day one tu nilianza kuona nafuu kubwa kwani muwasho ulianza kuisha baada ya siku 3 fungus hizo kwisha kabisa...

Niliendelea kunywa hivyo asubuhi na jioni kwa siku kumi mfululizo ijapo....

Sasa hivi nimepona kabisa

Tangawizi ina faida kubwa kiafya sana si tu inatibu fungus,inatibu matatizo mengi sana..namimi toka nilipomaliza dozi ya tatizo langu hilo niliamua kutoiacha tangawizi huwa nakunywa glass moja ya juice ya tangawizi kila siku.....

Jaribuni mtakuja kunipa mrejesho.....
 
Mkuu ulitumia dawa yyte kutoka hospital au phamarcy?
Kama jibu ni ndio.
Dawa gani ulitumia?
 
Asilimia kubwa ya dawa za kienyeji huwa azihui vijidudu vya magonjwa kabisa yani vinakuwa deactivated au hidden. Ingawa zipo vizuri tu kwa baadhi ya wagonjwa.
 
Asilimia kubwa ya dawa za kienyeji huwa azihui vijidudu vya magonjwa kabisa yani vinakuwa deactivated au hidden. Ingawa zipo vizuri tu kwa baadhi ya wagonjwa.
Mimi nina fangas huwa nikikaa mazingira yajito natoka tuvipele pindi nikivaa viatu inakuwa kama malengelenge lkina nikiacha kuvaa viatu vya kufunika vinakauka vyenyewe bila dawa.hosp dr aliniambia hao ni bacteria wapo mwilini hawana tiba mtu anazaliwa nao naomba mnisaidie hapo.
 
nifangas wa miguuni.
 
Mimi nimependa uyo paka? Niwako?
 
Back
Top Bottom