Mrejesho: Hatimaye nimepona fungus za sehemu za siri...

Hapa tukiingia mahusiano tukague mbupu😁 kuna asilimia kubwa kuambukizwa fungus in case😀

Pole na hongera ila nguo zako za ndani fua kwa sabuni ya aerial na anika nje juani.
 
mgonjwa aliekuwa anaomba msaada kageuka kuwa dokta, maajabu pekee yanayopatikana ktk ardhi ya tz😁
 
Ndgudgu yangu nateseka sana na fangasi, naenda kununua tangawizi na limao za kutosha...ntajitahidi nifanye kama ulivyoelekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…