Mrejesho: I am so happy kumpata mtu ambae tuna-match

Mrejesho: I am so happy kumpata mtu ambae tuna-match

Umetumia mda gani hadi kumpata na kuridhika nae!?

Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app

Dah tangazo lilikuwa tar 11,
Tar 15 ushapata mnaye match?
Y'all play too much .. si kwa speed hiyo zaidi ya rocket.

Ndani ya wiki umeshajua mnaendana? Uwe makini sana dada kama hautaki kulizwa, wenzio tuna miaka3 ndo kwanza bado vijitabia vinaibuka sasa wiki moja mapema sanaa

Nasubiria mrejesho wa Moyo sukuma Damu...
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/21267618

Naomba nisiongeze neno....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
yes...tunaendana kwa kila kitu!hakuna kitu chema kama kumpata mtu mnaeendana na unavotaka awe.
mpnz wangu ni mzuri,msomi,mrefu kama mimi,mpole na muelewa.ni mwanaume msafi sijawahi ona..kuanzia mazingira yake anapoishi mpaka yeye..anajali kwa alichonacho..ni mtu mwenye malengo na hamu ya kuja kufanikiwa sana.yuko matured na kijana anaeenda na wakati..anapenda kuniona nko happy mda wote..yuko proud nami..above all he is sooo romantic..yani ikitokea nipo nae nasahau shida zote za dunia..hata njaa sisikii.
iam too kind..sio muongeaji sana na kukasirika ovyo...pia utulivu ndo asili yangu.hizo ndo tabia zangu ambazo siwez zuga thats why kaamua kunichagua.
trust mi hakuna kitu kinachowafanya wawili wapendane kama kuendana kitabia..tabia first mengine yatafuatia.
wewe hupend waongeaji sana thn binti anaongea ka vuvuzela..mtadumu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ulivyotaja sifa zako nikakumbuka ulivyotukanana na yule bikra
 
Mimi nitakua na mdada atakayekua tayari kujua nini maana ya ndoa make selection ya physical characteristics kwa wadada wananiachaga nje kila siku japo yanachangia kidogo sana kwenye ujenzi wa familia iliyobora.

Siku mdada atakaponipima kwa sifa za ndani najua nitajua kua ni mdada anaejua maisha ni nini. Your not my type bila kukupa nafasi ni nyingi sana kwa wadada siku hizi tena kwenye first meeting
 
hebu nipe hiyo nafasi ndugu henda nitapona kuwa na hasira za ovyo 🙁🙁🙁🙁🙁
 
Binti wa kirombo;
Nimekupa nafasi kuanzia leo
 
Eee bwana kitu kinachoitwa mahusiano kinahitaji kuomba sana na kuwa makini sana cyo masihara hata kidogo
 
Back
Top Bottom