Mrejesho juu ya mwanamke wangu alieenda ofisini na love bite

Dhambi kuu aliyofanya shetani Magufuli ni kuhamishia watu Dodoma na kuharibu mahusiano mengi hata ndoa. Huko alipo afe tena na aliwe na funza wa Gambosh.
Punguza roho mbaya!!
 
A real man, one in a million...
Mwengine angetaka aende Dom, huko yeye anaanzisha mahusiano mapya, halafu anataka aliyemuacha Dar aishi kitakatifu[emoji1787] eti amtunzie[emoji1787]

Men are selfish...except you my friend[emoji1787]
Hadi babako na bwanako wako selfish
 
Nilikuwa namlaga tangu kipindi kile mkiwaga wote dar.....ungemuacha kipindi kile, 😁sema mke wako mtamu
Kakuachia ujipime tani yako sio kwa kujiiba tena, jamaa mjanja tz hii wapo zaidi ya milioni 30
 
Ukitaka mahusiano ya mbali yasikuumize,ni sharti wote wanne muwe waelewa
 
Dhambi kuu aliyofanya shetani Magufuli ni kuhamishia watu Dodoma na kuharibu mahusiano mengi hata ndoa. Huko alipo afe tena na aliwe na funza wa Gambosh.
Uharibifu wa uhusiano ulikuwepo kipindi cha Magufuli pekee?

Kwamba kabla yake haukuwepo, na sasa baada yake hakuna uhusiano wowote unaoharibika?

Umasikini na chuki ni pipa na mfuniko.
 
We ni fala😂😂
 
Ahsante Mungu kwa kuniondolea wivu wa mapenzi.. naishi kwa amani sana.
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Shida ya wanaume mkifanyiwa mnaona Kama mmekosewa sana akati mmetufundisha wenyewe


Hongera pia kwa kuweza ku control hasira zako ndo uanaume huo kuweza kuhimili

Na huo ni mwanzo tu utasema tu bado hujasema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani aliyekufundisha, ulizaliwa peke yako duniani utakufa peke yako. Huyo mchumba au mme wako amekufundisha lini wakati mlikutana above 25yrs. Yaani niseme wanawake wamenifundisha kutokana na tabia zao za visilani na dharau zisizo na msingi halafu nije nimfanyie hilo jambo mpenziwe. Hapo ndio nitaitwa mjinga wa dunia maana binti hakunijua nilipokuwa below 25yrs. Tabia mbovu ni yako sista, utahukumiwa wewe na umepewa akili ya kujua jema na baya. Kama hujui basi wewe utakuwa mwanamke mpumbavu utakayeharibu nyumba yako kwa mikono yako. Acheni kuiga Western countries, this is Africa tena bongo.
 
Huo ndio ukomavu sasa.
 
Pole sana Mangi...daah...
 
Point yangu hapo juu nilimaanisha maisha ni matamu tukiwa na watu wenye comedy kama nyie, i didnt mean kwamba watu wanaoiba wake za watu, hilo siliafiki, napinga kwa miguu na mikono, tafuta wa kwako
Hakunaga mme au mke anayeibwa, wote ni wazinzi tu.
 
Cha muhimu hi uhai tuu..
Wacha aende.mfute akili mwako.
Ila usije kuwa mpumbavu ukamludia...Maza,r-faka,l wasaliti hawarudiwi....
Keshima ikiondoka hailudi tena...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…