Mausingizii
Member
- Jul 14, 2022
- 90
- 74
Kama umemchoka tuachie sisi
Tumle mpaka mifupa sisi ndo mafisii
Tumle mpaka mifupa sisi ndo mafisii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza roho mbaya!!Dhambi kuu aliyofanya shetani Magufuli ni kuhamishia watu Dodoma na kuharibu mahusiano mengi hata ndoa. Huko alipo afe tena na aliwe na funza wa Gambosh.
Unaweza anza wewe kuwa mvumilivu ili uwe wa kipekeeHivi kwanini kila mwanamume akifahamu katombewa mke lazima jambo la kwanza ni kuacha?? Hatuna uvumilivu kabisa kwenye kutombewa kwanini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi babako na bwanako wako selfishA real man, one in a million...
Mwengine angetaka aende Dom, huko yeye anaanzisha mahusiano mapya, halafu anataka aliyemuacha Dar aishi kitakatifu[emoji1787] eti amtunzie[emoji1787]
Men are selfish...except you my friend[emoji1787]
Kakuachia ujipime tani yako sio kwa kujiiba tena, jamaa mjanja tz hii wapo zaidi ya milioni 30Nilikuwa namlaga tangu kipindi kile mkiwaga wote dar.....ungemuacha kipindi kile, 😁sema mke wako mtamu
Sema ya kua free hainogi sana, 🍑ya kiuwizi inakuaga tamu kinyamaKakuachia ujipime tani yako sio kwa kujiiba tena, jamaa mjanja tz hii wapo zaidi ya milioni 30
NatureHivi kwanini kila mwanamume akifahamu katombewa mke lazima jambo la kwanza ni kuacha?? Hatuna uvumilivu kabisa kwenye kutombewa kwanini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Uharibifu wa uhusiano ulikuwepo kipindi cha Magufuli pekee?Dhambi kuu aliyofanya shetani Magufuli ni kuhamishia watu Dodoma na kuharibu mahusiano mengi hata ndoa. Huko alipo afe tena na aliwe na funza wa Gambosh.
We ni fala😂😂Yaan Dom to Dar naunakaa ukisema unamwanamke wako yupo Dar na unamfatilia aloo watu mnamoyo yaan mimi siku nilioambiwa unatakiwa ulipoti Dodoma na kuondoka Dar usiku wake nilimuita kiumbe yule na kumwambia nafkili safari yetu ya mahusiano iishie hapa na sioni sababu ya kuendelea na wala siitaji ma drama kuwa huru na maisha yako end of business en no more.
[emoji1787][emoji1787]Yaan Dom to Dar naunakaa ukisema unamwanamke wako yupo Dar na unamfatilia aloo watu mnamoyo yaan mimi siku nilioambiwa unatakiwa ulipoti Dodoma na kuondoka Dar usiku wake nilimuita kiumbe yule na kumwambia nafkili safari yetu ya mahusiano iishie hapa na sioni sababu ya kuendelea na wala siitaji ma drama kuwa huru na maisha yako end of business en no more.
Nani aliyekufundisha, ulizaliwa peke yako duniani utakufa peke yako. Huyo mchumba au mme wako amekufundisha lini wakati mlikutana above 25yrs. Yaani niseme wanawake wamenifundisha kutokana na tabia zao za visilani na dharau zisizo na msingi halafu nije nimfanyie hilo jambo mpenziwe. Hapo ndio nitaitwa mjinga wa dunia maana binti hakunijua nilipokuwa below 25yrs. Tabia mbovu ni yako sista, utahukumiwa wewe na umepewa akili ya kujua jema na baya. Kama hujui basi wewe utakuwa mwanamke mpumbavu utakayeharibu nyumba yako kwa mikono yako. Acheni kuiga Western countries, this is Africa tena bongo.Shida ya wanaume mkifanyiwa mnaona Kama mmekosewa sana akati mmetufundisha wenyewe
Hongera pia kwa kuweza ku control hasira zako ndo uanaume huo kuweza kuhimili
Na huo ni mwanzo tu utasema tu bado hujasema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamtu asiyemwaminifu ataweza hili ila kwa asiyeweza hayo ni vema kujitenga na mahusiano kama mtu wa aina yako hujampata. Haufii, note si kila mwanaume anauweza umalaya boss.Mkuu mwanamke wakutomber peke yako utampata wapi! Si wenzio now hatuna wivu kabisa, maana sisi wenyewe sio waaminifu
Huo ndio ukomavu sasa.Habar za humu ..
Moja kwa moja bila kupoteza muda naomba kutoa mrejesho kuhusu mchumba wangu kuonekana na love bite shingoni..
Siku ile naandika hapa nilikua na hasira kali na isiyo elezeka niliazimia kurud dar ili nikamalizane nae kama nilivoandika pale.
Ila baada ya kuleta bandiko langu hapa nilisoma maoni ya wadau mbali mbali kwa kweli niseme kile nilichokua nawaza kichwani kumfanyia hakika Kingeweza kuleta madhara makubwa ulemavu wa kudumu au kifo.
Sasa nilichokifanya baada ya kusoma maoni hapa nili cancel safari ya kwenda dar nikaamua kubaki Dodoma ili nijipe muda wa kuwaza na kutafakari vizuri na kuituliza hasira yangu..
Baada ya kukaa na kutafakari kwa kina niliona hakuna sababu ya kumpiga au kufanya fujo yoyote juu yake.
Niliamua ntamuacha aendelee na maisha yake na mm niendelee na maisha yangu..
Na tangu jumatano nipo dar na nilimuita nyumbani na nikamuuliza japo alibisha nilimbana sanaaa mpaka akaeleza ukweli wote.
Ukweli ni kwamba alinisaliti, nilimueleza siwez kuendelea nae tena lkn muda wote niliokua naongea nae nilibadilika sura ilabadilika kifua kikatuna kwa hasira ila kwa vile tiari nilikua nishosoma maoni mengi ya wadau hapa sikumpiga hata kibao ..
Nilimuamuru achukue kila kilicho chake au anachoona kinafaa na vyote nilivomfanyia nilimuambia abaki navyo tu.
Japo aliomba sana msamaha na kulia hakika sikumuelewa sabab moyoni alishatoka.
Alikua mgumu kuondoka na ilikua ni mida ya saa tatu usiku , kwa jinsi nilivokua nimechukia hakuwah kuniona katika hali kama hiyo ya kukasirika kiasi kile, nilimuambia nakupa lisaa limoja nikirudi nikikukuta humu ndani kichwa chako kitakua ni halali yangu.. nikaondoka nikaenda sehem nikakaa sikutaka kutumia kilevi chochote nilikunywa maji tuu saa sita usiku nilirudi sikumkuta.
Japo tangu juzi nimekua nikitafutwa na ndugu zake na marafiki zake sijapokea simu zao sababu sina mpango wa kumsamehe.
Naamini Mungu atanipa wangu sahihi kwa wakati Muafaka.
Wanawake nawasihi usaliti sio kitu kizur wanaume huwa hatuna roho ya kumsamehe msaliti. Ukiamua kusaliti Linda heshima ya mtu wako fanyia mbali uovo wako ila za mwizi ni arobaini..
Asanteni sana kwa ushauri wenu hakika pengine sa hii ningekua jela.
Ila omba yasikukute kusalitiwa na mchumba inauma sana.
Pole sana Mangi...daah...Yaani mimi kabisa nikakae nianze kujisemesha kwa rafiki zangu au ndugu zangu eti mwanamke wangu amenisaliti,Niwaambie kina masawe huyu amenisaliti? Aisee kuna vitu vya kuwaambia ndugu lkn si usaliti yaani nikae na ndugu zangu tunajadili ujinga wa mtu? Ode lawe nke isembo indo ndi.. Nke wa Mashami(Machame) te
Hakunaga mme au mke anayeibwa, wote ni wazinzi tu.Point yangu hapo juu nilimaanisha maisha ni matamu tukiwa na watu wenye comedy kama nyie, i didnt mean kwamba watu wanaoiba wake za watu, hilo siliafiki, napinga kwa miguu na mikono, tafuta wa kwako