Mrejesho juu ya uzi wangu wa kutafuta mchumba (mke) niliowahi post

Mrejesho juu ya uzi wangu wa kutafuta mchumba (mke) niliowahi post

Hivi huko unapoishi hakuna wadada Hadi utafute mke jf? Naona Kama unabet kijana then kesho kesho kutwa uje na bandiko la kulalamikia wanawake..
 
Hivi huko unapoishi hakuna wadada Hadi utafute mke jf? Naona Kama unabet kijana then kesho kesho kutwa uje na bandiko la kulalamikia wanawake..
We jamaa uc4ç tutumie njia moja kupata jibu ,, we tumia fo 4figure mimi na simplify expression
 
Waowe wote kama tatizo ni mahari tutakuchangia,kama tatizo nguvu za kiume dawa zipo.
 
Mkuu si wataona bandiko lako sasa hapa afu wajichenge uanze kulialia tena ,anyways na mm soon ntakuja na bandiko la kutafuta mchumba/ mke kbs, ingawa ndio bdo najitafuta kimaisha.
 
Hayo ni maisha yako binafsi maamuzi unatakiwa kufanya wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom