A Anonymous Guest Jul 23, 2025 #1 Habari JF Naomba mtafute ile post tulituma kupitia jukwaa la malalamiko / fichua uovu Hatimaye tunawashukuru DAWASA wameanza mchakato wa huduma ya maji Kibaha-Pangani Pia soma ~ Mradi wa Maji Kibaha-Pangani wenye thamani ya Tsh. Bilioni 9.8. uliosainiwa Mwaka 2023 waanza kutekelezwa
Habari JF Naomba mtafute ile post tulituma kupitia jukwaa la malalamiko / fichua uovu Hatimaye tunawashukuru DAWASA wameanza mchakato wa huduma ya maji Kibaha-Pangani Pia soma ~ Mradi wa Maji Kibaha-Pangani wenye thamani ya Tsh. Bilioni 9.8. uliosainiwa Mwaka 2023 waanza kutekelezwa