Mrejesho: Kijana tumia fursa hii kupata mtaji

Milale

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
494
Reaction score
189
Kipindi cha nyuma kidogo nilileta hapa jamvini nikihitaji vijana wenye mawazo ya biashara ila wenye ukosefu wa mtaji. Kwanza nashukru muitikio ulikuwa mkubwa ila kulingana na uwezo wangu mdogo sikuweza kuongea nao wote matokeo yake niangalia wachache
Waliojitokeza PM walikuwa 79.
Katika hao nilichuja na kubaki nao 40.
Baada ya hapo niliendelea kuchuj na mwisho wa siku nilifanikiwa kupata watu nane tu.
Kati ya hao nane ndio ambao tuko pamoja mpaka sasa..
Changamoto kubwa ya vijana wengi ni uaminifu na hiyo ndo changamoto inayotufanya vijana wengi kushindwa kufikia malengo yetu.
Nipende kuwatia moyo vijana wenzangu kuwa kila jambo linawezekana ukiweka juhudi.
Binafsi nimeanza kuajiriwa hapa na members wa hapa JF.
UAMINIFU NI MTAJI...
Jioni njema..
 
Kwahiyo hao vijana nane ndiyo mtaji wako! Brother acha basi kupoteza muda wa watu, sasa kuwa na watu wanane unapataje mtaji?
 
Yaani we jamaa supu umeitia Nazi [emoji37][emoji37][emoji37],tofauti na nilichotegemea kukuta kwenye huu uzi
 
Nyie jamaa vipi uwo ni mrejesho sasa hamuelewi nini hapo jiongeze ifuatilie madayake ya kwanza then ndio uje soma mrejesho huu.

Labda mngesema kafikia wapi nao ningewaelewa.

Hamuelewi wapi sasa mimi nimemuelewa.
 
Nyie jamaa vipi uwo ni mrejesho sasa hamuelewi nini hapo jiongeze ifuatilie madayake ya kwanza then ndio uje soma mrejesho huu.

Labda mngesema kafikia wapi nao ningewaelewa.

Hamuelewi wapi sasa mimi nimemuelewa.
Tuelekeze ambao hatujaelewa basi
 
Steps za kuelewa
1)click avatar yake
2)then click kwenye Post zake
3)then post started by
4)then tafuta post inayofanana na hii kwenye list.
5)Mwisho njoo hapa
hiyo shughuli yote ya nini si angeainisha kila kitu hapa et mpaka niende kwenye avatar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…