Milale
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 494
- 189
Kipindi cha nyuma kidogo nilileta hapa jamvini nikihitaji vijana wenye mawazo ya biashara ila wenye ukosefu wa mtaji. Kwanza nashukru muitikio ulikuwa mkubwa ila kulingana na uwezo wangu mdogo sikuweza kuongea nao wote matokeo yake niangalia wachache
Waliojitokeza PM walikuwa 79.
Katika hao nilichuja na kubaki nao 40.
Baada ya hapo niliendelea kuchuj na mwisho wa siku nilifanikiwa kupata watu nane tu.
Kati ya hao nane ndio ambao tuko pamoja mpaka sasa..
Changamoto kubwa ya vijana wengi ni uaminifu na hiyo ndo changamoto inayotufanya vijana wengi kushindwa kufikia malengo yetu.
Nipende kuwatia moyo vijana wenzangu kuwa kila jambo linawezekana ukiweka juhudi.
Binafsi nimeanza kuajiriwa hapa na members wa hapa JF.
UAMINIFU NI MTAJI...
Jioni njema..