malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Habari wakuu, nilileta Uzi humu juu ya kijana wangu kuwa na maumivu ya mgongo kayapata akiwa shule bweni darasa la 4, yamemuanza tarehe 1/4/2025 hakupigwa, hakuanguka, zaidi alikuwa akibebeshwa ndoo ya maji asubuhi na jioni
Majibu ya vipimo
Imeonekana pigili zake za mgongo zimenyooka kama rula, na kikawaida dokta anasema zinatakiwa ziwe zimepinda kidogo Kila pingili iwe imepinda.
Majibu ya vipimo
Imeonekana pigili zake za mgongo zimenyooka kama rula, na kikawaida dokta anasema zinatakiwa ziwe zimepinda kidogo Kila pingili iwe imepinda.