malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Pingili zimenyooka,kikawaida zinatakiwa ziwe zimepinda kidogoHabar wakuu nililte Uzi humu juu ya kijana wangu kuwa namaumivu ya mgongo kayapata akiwa shule bweni dar4 , yamemuanza tar1/4/2025 hakupigwa,hakuanguka,zaid alikua akibebeshwa ndoo ya maji asubuh na jioni
Majibu ya vipimo
Imeonekana pigili zake zamgongo zimenyoo kama rula,nakikawaida dokta anasema zinatakiwa ziwe zimepinda kidogo Kila pingili iwe imepinda
Mtoto yupo darasa la nne Sasa wanalazimisha Madara ya mitihani ya taifa lazima bweni,,mwenyewe kama mzazi tulipinga Hilo swala lakini mkurugenzi wa shule akadai anaeona utaratibu wa haumfai anaruhusiwa kuamisha mtoto wake,Sasa maeneo hayo shule nzuri niyo tuhiyo ndoo ya maji huenda ni nzito kuliko saizi yake, ndio iliyosababisha kupata hilo tatizo, la muhimu nenda shule uwambie ya kuwa huyo mtoto kapata hilo tatizo kwa hivyo, kipindi hichi kwanza asibebe ndoo kabisa, hata akiwa yupo sawa, abebe ndoo ndogo sana kidogo kidogo ilil asiuumize mgongo wake,
ikisha miaka tisa mbona mdogo sana kumpeleka kusoma boarding, au hatakuwa na uangalizi wa mtu yoyote nyumbani ndio ikapelekea kwenaa boarding.
kijana bado mdogo ni wakati wa mtoto kusoma tabia za nyumbani na shuleni, hapo sasa ulezi ni wanafunzi kwa wanafunzi wenye wao, darasani, kula kulala, kucheza kidogo.
Bora ungemtoa mtoto hiyo shule,kwao boarding ni biashara. Mtoto aende boarding secondary chief ,sio primary school. Unaweza letewa taarifa mwanao kafariki kwenye mazingira yenye utata kumbe ni adhabu za kipuuzi na kukosa usimamizi. Mlinde mwanao akiwa mdogo chief.Mtoto yupo darasa la nne Sasa wanalazimisha Madara ya mitihani ya taifa lazima bweni,,mwenyewe kama mzazi tulipinga Hilo swala lakini mkurugenzi wa shule akadai anaeona utaratibu wa haumfai anaruhusiwa kuamisha mtoto wake,Sasa maeneo hayo shule nzuri niyo tu
Nawaza hapa kumtoa awe anatomea day Sasa ratiba zao za masomo wanaingia darasani saa kumi na mbili asubuh katikati hapo wanakua namapumziko Hadi masomo mwisho saa tatu usiku,hiyo ratiba wiki nzima kosoro jumapili tuBora ungemtoa mtoto hiyo shule,kwao boarding ni biashara. Mtoto aende boarding secondary chief ,sio primary school. Unaweza letewa taarifa mwanao kafariki kwenye mazingira yenye utata kumbe ni adhabu za kipuuzi na kukosa usimamizi. Mlinde mwanao akiwa mdogo chief.
Ungekataa mimi nlikataa akiwa la nne na nitakataa akiwa la saba....Mtoto yupo darasa la nne Sasa wanalazimisha Madara ya mitihani ya taifa lazima bweni,,mwenyewe kama mzazi tulipinga Hilo swala lakini mkurugenzi wa shule akadai anaeona utaratibu wa haumfai anaruhusiwa kuamisha mtoto wake,Sasa maeneo hayo shule nzuri niyo tu
Sasa hizo ratiba zao za masomo wanaanza saa kumi na mbili asubuh Hadi saa tatu usikuUngekataa mimi nlikataa akiwa la nne na nitakataa akiwa la saba....
Utapeli tu mtoto wa la nne kufundishwa hivo kitu gani.Sasa hizo ratiba zao za masomo wanaanza saa kumi na mbili asubuh Hadi saa tatu usiku
Kuna shule wanalazimisha boarding kwa darasa la nne na la saba, yamenikuta haya nilikataa mtoto wangu asikae boarding wakanilazimisha niwe nampeleka shule na kumfata kila siku hadi watakapofungua mabasi yakianza kazi. Binafsi napinga sana watoto wadogo kukaa boarding, siku hiyo nimeenda nimekuta watoto wanachota maji waende kuoga maji ya baridi na mvua ilikuwa imenyesha siku hiyo baridi kali.hiyo ndoo ya maji huenda ni nzito kuliko saizi yake, ndio iliyosababisha kupata hilo tatizo, la muhimu nenda shule uwambie ya kuwa huyo mtoto kapata hilo tatizo kwa hivyo, kipindi hichi kwanza asibebe ndoo kabisa, hata akiwa yupo sawa, abebe ndoo ndogo sana kidogo kidogo ilil asiuumize mgongo wake,
ikisha miaka tisa mbona mdogo sana kumpeleka kusoma boarding, au hatakuwa na uangalizi wa mtu yoyote nyumbani ndio ikapelekea kwenaa boarding.
kijana bado mdogo ni wakati wa mtoto kusoma tabia za nyumbani na shuleni, hapo sasa ulezi ni wanafunzi kwa wanafunzi wenye wao, darasani, kula kulala, kucheza kidogo.
Pole sana mkuu yamenikuta haya na mimi nilipokataa mtoto asikae boarding wakanipa ratiba kama hiyo tena mimi niliambiwa nimpeleke saa 11 alfajiri na kwenda kumchukua saa 3 usiku, siku ya kwanza nikampeleka saa 12:30 nikakuta wanafunzi wamezagaa hata hawajaanza kusoma jioni nikamfata saa1 nikakuta wapo darasani wanasali (hawasomi!) mwalimu akaona aibu akanikubalia kumchukua mtoto. Kuanzia sasa nitakuwa nampeleka saa12 asubuhi na kumfata saa 12 jioni, kumbe hiyo saa 11 wakiamka wanaanza kusali maana ni shule ya kidini hadi saa 1 ndio wanaanza masomo.Mtoto yupo darasa la nne Sasa wanalazimisha Madara ya mitihani ya taifa lazima bweni,,mwenyewe kama mzazi tulipinga Hilo swala lakini mkurugenzi wa shule akadai anaeona utaratibu wa haumfai anaruhusiwa kuamisha mtoto wake,Sasa maeneo hayo shule nzuri niyo tu