Mrejesho: Kilimo cha mpunga Bahi

Gunia moja gharama zake mpaka kulifikisha sokoni ni kiasi gani?

Bei yake ni kiasi gani?

Faida kiasi gani?
Unanunua kijijini kwa 55k-65k unasafirisha kwa pikipki 3000 mpka mashineni unakoboa kg 1@50 tsh

Unauza hapo hapo kg1@1400tsh
 
Hongera sana boss, kama ulivyosema jembe halimtupi mkulima ni kweli kabisa. Nadhani ni kuto kukata tamaa pale matarajio yanapo kuwa tofauti na matokeo. Pia kuangalia ni eneo gani ambalo zao husika hustahimili mazingira.

kwa mpungu maeneo kama mbea kilombero turiani kilosa ifakara huko ndio kwake.

huwezi kwenda kulima kahawa singida useme itakubali.singida mahindi alizeti. Kilimanjaro bukoba ndizi na kahawa ndio kwake.
 
Kweli
 
Manake kila ekari inatoa gunia 10
Ndio, lakini Kama msimu mzuri unatakiwa upate Kila magunia 25-30
Msimu ukiwa mzuri. Ila kwa mwaka huu kwakweli Ni changamoto kubwa mno
 
Maswali mazuri sana haya na yamekuwa hayajibiwi mara nyingii[emoji16] Ili tunaotaka tujitose kwenye kilimo tujue vizuri gharama za uendeshaji na faida ikoje.
Nadhani nimeyajibu kwa ufasaha, km BADO Kuna mkanganyiko niuluze tu mkuu, nitajaribu kukujib kadri nijuavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…