Asante, inategemeana na aina ya mbegu uliyopanda, Kuna mbegu zinaiva ndani ya siku 90 na 120 lkn pia Hali ya hewa inaweza kusababisha mpunga wako ukachelewa kukomaa, Kama ukilima mbegu moj wanaipenda sana hapa bahi, inaitwa NGANYARO, yenyewe huwa inarefuk tu maji yanapozidi kuwepo, inaweza fikia hata fut 5 kabisa, ila punde maji yanapokauka inabadilika rangi na kukomaa ndani ya siku chcahe tu.
Gharama: kiukweli kilimo Cha mpunga kina gharama lakni mavuno yake yanafidia Mara dufu gharama uliyotumia. Mfano mm nilikodi 150k@heka moj,
Kulima na trekta 60k@heka
Kupandikza mbegu 70@heka
KUVUNA:
Mtu wa kuamia ndge20@mwez (mahitaji yote juu yako)
KUVUNA na kupiga 4000@gania
Usafir toka mbugani mpka mashineni au stoo bahi 3500@gunia moj.
Nadhani hapo umepata picha