Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Halafu hembu niambie Mkuu Driver wako ana License?au huko Traffic wa mpunga hakuna?
Tehetehetehe,utani kidogo jamani,maana Shambani akitokea Traffic lazima ujue mchawi
Hana licence mkuu, ila ana uzoefu wa kuendesha hizo mashine baada ya kujifunzia huko huko.Halafu hembu niambie Mkuu Driver wako ana License?au huko Traffic wa mpunga hakuna?
Tehetehetehe,utani kidogo jamani,maana Shambani akitokea Traffic lazima ujue mchawi,hahaha,halafu Kumbe mpaka utingo yumo?aiseee
Siku 32 mpaka dar mkuu.Aisee wabongo kwa hashua kama mie,
Eti muda wote namie nakesha na Alibaba mpaka bundel ikaisha,aaisee kuna vitu vya hatari huko
Ila pesa sina,lakini ukiingia unaweza kwenda kuiba,bei rahisi halafu unapewa siku chachee kufikika mzigo wako
Mkuu wewe Gari lako hilo la shamba lilichukua muda gani kufika?
Mkuu na bei ya kuinunua hii machine ni kiasi gani?Ime nigharimu kama 3.5 m Kwa gharama zote mpaka Kutoka bandarini.
Kuna watu huwa hawasomi mabandiko ya wengine ! Au huwa wagumu wa kuelewa?
Mleta mada ameshajibu maswali ya wadau kuhusu gharama za huo mtambo ,kwamba katumia US$ 12OOO kununulia na kusafirisha hadi Bandarini nadhani Dar.Ila gharama za utoaji hapo Bandarini yaani kodi na mambo yahusuyo ushuru ametumia Tanzania Shilingi Milioni tatu na nusu( 3,5M).
Lakini Waswahili bado tunauliza tena na tena swali hilohilo?
Iyo ni Tshs ngapi?Nadhani kwa wakulima wadogo hii ni nzuri pia......
Bei yake ikoje hiiNadhani kwa wakulima wadogo hii ni nzuri pia......
Tractor unaanzia bei gani mkuu?hongeara sana nami ninayo combine na tractor ninauza ila nikumbwa na ni imara sana kwa anaehitaji anitafute ipo dar..0714242879
.nachelea kusema kwambaHongera Sana. Wewe ni mmoja wa watu wachache mmeleta thread ya maana JF kwa mwaka huu.
.nachelea kusema kwamba mood wawe wanachambua mwisho wa mwaka au mwezi tuwe tunapata muanzisha uzi boraaa na maridhawa na msaada kwa wanajamaa awe anapatikana na anatambulika na uongoziHongera Sana. Wewe ni mmoja wa watu wachache mmeleta thread ya maana JF kwa mwaka huu.