Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Mkuu Kwanza Hongera na Mungu akubariki na akusimamie kwenye Kilimo na maamuzi uliyofanya.
Mie itabidi niingie alibaba niangalie ya Upande wa Mihogo na Viazi,maana nimenunue hakari kadhaa Mkuranga,nasubia mwakani Aliekodi avune ili mie nianze Rasmi.
Umenipa Moyo sana,maana wenzio pesa hiyo wengenunua Mark X watese mjini