Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Manual inatesa mjini mkuu. Masafa ipo mukide sana.Manual sio gari ukiwa na safari ndefu unafika miguu iko hoi ila kwa hizi gari ndogo ndogo
Ni kweli ila kwa masafa ipo powa maana number 4 na 5 zinaenda mbali sanaManual inatesa mjini mkuu. Masafa ipo mukide sana.
Ok mkuu .nizuieje boss?hongera sana ila ukiweza zuia namba za gari kuonekana
Hamjawahi kuendesha manual cars nyie. Unachoka vipi sasa mguu? Kwa kazi ipi hiyo?Manual sio gari ukiwa na safari ndefu unafika miguu iko hoi ila kwa hizi gari ndogo ndogo
Naomba kuwasilisha..๐Manual sio gari ukiwa na safari ndefu unafika miguu iko hoi ila kwa hizi gari ndogo ndogo
Members wengi humu wanatumia majina bandia. Sasa naweza kukuelewa kwa nini umetahadharisha kuexpose namba ya garihongera sana ila ukiweza zuia namba za gari kuonekana
Embu nisaidie mkuu kuna namna wanaifutaMzee, hariri Picha kuficha utambulisho
Umeagiza au umemvua mtu?Hello Team Magari , Asanteni sana kwa ushauri mlionipa nimefanikiwa kukiagiza hichi Jimny na kimeshafika nyumbani .Kutoka Dar mpaka Arusha kilikula mafuta ya elfu 80000.mpaka kimefika nimetumia 9,7 milioni .Kutoka dar turbo Ilikuwa inafunguka kufika Bagamoyo ika stack.Ndio hiyo tuu shida kidogo tu.Asanteni sana.Hii manual gear inatesa sana sijawahi endesha hii gari .Mpaka natamani kuiacha nitembee kwa mguu [emoji24][emoji24] View attachment 1979780View attachment 1979781
Hahahahahah manual inazingua kule kupanga na kupangua gears yani haswa kama umezoea automatics! Maana ni kuweka D na kukanyaga kibatu tu๐Hongera Kununua Gari
Ila Umechoka Kuendesha Manual Toka Dar Es Salaam ~Arusha
Watu Waanatoka Asubuhi Dar Es Salaam Wanakwenda Kyerwa
Muda Kama Huu Wamefika Na Hakuna Kuchoka
Nimeagiza SBTUmeagiza au umemvua mtu?
Sio kwa gari hizi ndogo zenye cc ndogo Kila ukifika kwenye bamzi nikupunguza gearManual inatesa mjini mkuu. Masafa ipo mukide sana.
๐๐ Yaani umeongea opposite.Kwahio manual inafaa kwa safari fupi?Manual sio gari ukiwa na safari ndefu unafika miguu iko hoi ila kwa hizi gari ndogo ndogo
Mi Kuna siku natoka mwanza mbona nililala morogoro uchovu hatariEmbu nisaidie mkuu kuna namna wanaifuta