Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Hello Team Magari , Asanteni sana kwa ushauri mlionipa nimefanikiwa kukiagiza hichi Jimny na kimeshafika nyumbani .Kutoka Dar mpaka Arusha kilikula mafuta ya elfu 80000.mpaka kimefika nimetumia 9,7 milioni .Kutoka dar turbo Ilikuwa inafunguka kufika Bagamoyo ika stack.Ndio hiyo tuu shida kidogo tu.Asanteni sana.Hii manual gear inatesa sana sijawahi endesha hii gari .Mpaka natamani kuiacha nitembee kwa mguu [emoji24][emoji24]
IMG_20211019_165856.jpg
IMG_20211019_165922.jpg
 
Last edited:
Hello Team Magari , Asanteni sana kwa ushauri mlionipa nimefanikiwa kukiagiza hichi Jimny na kimeshafika nyumbani .Kutoka Dar mpaka Arusha kilikula mafuta ya elfu 80000.mpaka kimefika nimetumia 9,7 milioni .Kutoka dar turbo Ilikuwa inafunguka kufika Bagamoyo ika stack.Ndio hiyo tuu shida kidogo tu.Asanteni sana.Hii manual gear inatesa sana sijawahi endesha hii gari .Mpaka natamani kuiacha nitembee kwa mguu [emoji24][emoji24] View attachment 1979780View attachment 1979781
Umeagiza au umemvua mtu?
 
Hongera Kununua Gari
Ila Umechoka Kuendesha Manual Toka Dar Es Salaam ~Arusha
Watu Waanatoka Asubuhi Dar Es Salaam Wanakwenda Kyerwa
Muda Kama Huu Wamefika Na Hakuna Kuchoka
Hahahahahah manual inazingua kule kupanga na kupangua gears yani haswa kama umezoea automatics! Maana ni kuweka D na kukanyaga kibatu tu😅
 
Back
Top Bottom