Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
- Thread starter
-
- #41
Thanks man tatizo budget yangu Ilikuwa milioni 9 na sasa hivi naona vinazidi kupanda bei mkuu .unajua kipya ni 70 milioni?Hiki kigari shida hakipo stable hasa offroad kepesi mno sijui walikakosea chassis yake vipi.
Ila mkuu ungechukua ya 1.3L/1.4L manual isio na turbo ndo vina nguvu sana kote kambi!
Yote kwa yote hongera mkuu
Aache Tu Kitu Mpya Na Ni HalariAfiche kwani kaiba?
Inatesa kivip wakati safari ndefu haubadili gia mara kwa mara. Sema hiko kigari kina cc ndogo Ndio maana kimemchosha jamaaManual sio gari ukiwa na safari ndefu unafika miguu iko hoi ila kwa hizi gari ndogo ndogo
Usimfananishe Yesu na haya matakataka yako mkuu .atakuchapa kiboko mkuu.Anunue Ya Kupaa Juu Kama Ile Ya Yesu Wa Lugola
Hahahah maza alikuona mama mwenzie tu sema alikausha 😅 ulipoona stick shifter tu ukajiwahi fasta!Kweli mkuu.kuna siku mama mmoja aliniomba nimsogezee gari yake ya manual nikamwambia samahani sijui kuendesha manual gear niliona aibu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji853]
Manual ni nzuri kwa mitambo kama VX Limited ama GX models za Toyota! Yale na VX V8 gari za kazi na mitambo!Teknolojia Ya Manyo Kwenye Gari ni sawa na analogia kwenye Mawasiliano. Baada Ya Miaka Kadhaa Viwanda Vitaacha Kuzalisha.
Nazo ni Manual mzee! Serikali haiagizi Automatics! Ukiona li Auto-matic jua ni specs za Mkurugenzi alizotaka wakati anaagiza la kwakeMbona Serikalini wanaagiza Manual mkuu ,hizi hard top zote ni manual gear.na hizi za kwenda porini ni manual gear ..Hivi hizi Kilimo kwanza ni Manual au AT maana sijawahi hata kuchungulia huko ndani kukoje .
Hahahahah utamu wa manual ni pale umetanua halafu unataka upangue urudi site yako 😅 maana Scania XT inataka kuja kukufanya chapati 😅😅😅Vijana punguzeni kula chips mayai, yaani kuendesha manual Dar - Arusha unalia lia? Sasa ukipiga Dar - Kigoma? Manual raha sanaaaaa na huwezi sinzia hovyo...
Hicho kigari sio comfortable mkuu! Utachoka tu hata ukienda nacho Dar-Moro tu sababu ni low budget car!Inatesa kivip wakati safari ndefu haubadili gia mara kwa mara. Sema hiko kigari kina cc ndogo Ndio maana kimemchosha jamaa
Umeua mkuu [emoji1][emoji1]kwani niseme uongo ?Hahahah maza alikuona mama mwenzie tu sema alikausha [emoji28] ulipoona stick shifter tu ukajiwahi fasta!
Sema naona ulidhamiria yakuagiza ila kwa hio bajeti yako ungepata escudo safi kabisa yenye power kubwa au hata escudo ile second gen.hizo ndo gari ndogo zenye 4wd ya uhakika,very economical,power,zina space zaidi kuzidi jimny!Thanks man tatizo budget yangu Ilikuwa milioni 9 na sasa hivi naona vinazidi kupanda bei mkuu .unajua kipya ni 70 milioni?
Ninayo hii, ya mwaka 2013. Kambi popote nimetia tairi AT basi nakatizabkila sehemu.Hiki kigari shida hakipo stable hasa offroad kepesi mno sijui walikakosea chassis yake vipi.
Ila mkuu ungechukua ya 1.3L/1.4L manual isio na turbo ndo vina nguvu sana kote kambi!
Safi sana mkuu ,hongera 2013 ushuru wake balaaa.Ninayo hii, ya mwaka 2013. Kambi popote nimetia tairi AT basi nakatizabkila sehemu.
Siku ukitaka kusukuma unijuze.Ninayo hii, ya mwaka 2013. Kambi popote nimetia tairi AT basi nakatizabkila sehemu.
Si uagize. Mkuu au uende kule kupatana ila kuwa makiniSiku ukitaka kusukuma unijuze.
Hizi gari huwa naziota Kila wakati
Hizo hapo mkuu .Siku ukitaka kusukuma unijuze.
Hizi gari huwa naziota Kila wakati
Hiyo haiwezi tokea ji sawa na kusema simu za battan zisiwepo tena sokoniTeknolojia Ya Manyo Kwenye Gari ni sawa na analogia kwenye Mawasiliano. Baada Ya Miaka Kadhaa Viwanda Vitaacha Kuzalisha.
Tengua kauli mzee!Manual sio gari ukiwa na safari ndefu unafika miguu iko hoi ila kwa hizi gari ndogo ndogo