Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

Mzee CC inauhusiano gani na bamzi? Kwamba ukiwa na CC kubwa unafukia tu matuta.
Nguvu...kama nguvu ni kidogo ka obstacle kidogo tu lazima ushushe gia....assume premio ya 1.5L iwe manual na brevis ya 2.5L iwe manual ..kwenye brevis utaenjoy zaidi
 
Back
Top Bottom