Mrejesho: Kuhusu tangazo langu la kutafuta rafiki wa Kike

Mrejesho: Kuhusu tangazo langu la kutafuta rafiki wa Kike

Nyie mnaitana bloodie bloodie hamjakutana live nyie,NASEMAJE MTAKULANA TUU
 
Mwanzo mwanzo mnaitana bloodie, mara love, mara habit ngoja siku za mbele kama hamtoitana mbwa, mshenzi, sisi tutapokea matokeo tu,
 
Sawa sawa, ukitoa assist utuletee mrejesho kwa screenshots tafadhali.
 
Amesha kuambia kwamba anatokea pande za Machame?
Maana kule Kuna totoz si mchezo halafu wapoleee.
Hujakosea kabisa mkuu ni wa pande izo ingawa sio machame.
ana kila sifa ambayo mwanamke anastahili kuwa nayo
 
Mwanzo mwanzo mnaitana bloodie, mara love, mara habit ngoja siku za mbele kama hamtoitana mbwa, mshenzi, sisi tutapokea matokeo tu,
Enjoy every moment of your life before it's gone
 
Hujakosea kabisa mkuu ni wa pande izo ingawa sio machame.
ana kila sifa ambayo mwanamke anastahili kuwa nayo
Kama Ni wa huko umepata jiko Ila jipange kutafuta pesa. Dada zangu hawapendi kula maharage na matembele.
 
Hopes mko poa wana MMU, ningependa kutoa mrejesho

Kuna siku nilipost kule love connect kuwa naitaji rafiki wa kike, ingawa niliweka vigezo vingi ambavyo wengi waliokuja PM walishindwa kuvikidhi but i don't regret it.
Nimefanikiwa kumpata huyu rafiki ambae tumepata kuwasiliana for almost 3 weeks now and good enough ana match vigezo vyote vya rafiki niliyekua nikimuitaji. She's very charming, mcheshi, mpole, msomi halafu mrembo mno.

Nikiwa na stress yoyote sikawii kumcheki na kunicalm down. Ndio lilikua lengo langu la kutafuta rafiki wa kike & am very grateful for that.

Najivunia kujuana na huyu dada, ni muda mfupi but seems like tumejuana muda sana.

Asante kwa kuwa mshauri mzuri kwangu.

Thanks JamiiForums.

Thanks MMU

Happy birthday [emoji3531]"J"[emoji3531].

Better late than never.
Duuh
 
Back
Top Bottom