Mrejesho: Kuhusu tangazo langu la kutafuta rafiki wa Kike

Nyie mnaitana bloodie bloodie hamjakutana live nyie,NASEMAJE MTAKULANA TUU
 
Mwanzo mwanzo mnaitana bloodie, mara love, mara habit ngoja siku za mbele kama hamtoitana mbwa, mshenzi, sisi tutapokea matokeo tu,
 
Sawa sawa, ukitoa assist utuletee mrejesho kwa screenshots tafadhali.
 
Amesha kuambia kwamba anatokea pande za Machame?
Maana kule Kuna totoz si mchezo halafu wapoleee.
Hujakosea kabisa mkuu ni wa pande izo ingawa sio machame.
ana kila sifa ambayo mwanamke anastahili kuwa nayo
 
Mwanzo mwanzo mnaitana bloodie, mara love, mara habit ngoja siku za mbele kama hamtoitana mbwa, mshenzi, sisi tutapokea matokeo tu,
Enjoy every moment of your life before it's gone
 
Hujakosea kabisa mkuu ni wa pande izo ingawa sio machame.
ana kila sifa ambayo mwanamke anastahili kuwa nayo
Kama Ni wa huko umepata jiko Ila jipange kutafuta pesa. Dada zangu hawapendi kula maharage na matembele.
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…