tajiri wa mwanza
Senior Member
- Mar 1, 2017
- 138
- 226
USIFURAHI--UNATAKIWA UMPIME TENA BAADA YA MIEZI MITATU(3MONTHS). KWA MARA TATU.Nmeacha umalaya na uzinzi kupima si mchezo dah Jana nlipoenda kupima ngoma aisee nlikukutwa na dalili zote za HIV nkaogopa kuchukua majibu nkawapa no za mke Wang wampe
Kwahyo nliogopa kurud home mpk sa 6 iv nkamuua kurud niangalie mke Wang ypo katika hali gan dah sikuamin nkamkuta yupo anapga storii na kichekoo cha juu na majiran hapo hapo nkakimbilia boiler kuku mchele na safariii dah siwez kusahau na umalaya wote ule ule ngoma ZINAA MBAYA asante munguu
Okoka kabisa mkuuNmeacha umalaya na uzinzi kupima si mchezo dah Jana nlipoenda kupima ngoma aisee nlikukutwa na dalili zote za HIV nkaogopa kuchukua majibu nkawapa no za mke Wang wampe
Kwahyo nliogopa kurud home mpk sa 6 iv nkamuua kurud niangalie mke Wang ypo katika hali gan dah sikuamin nkamkuta yupo anapga storii na kichekoo cha juu na majiran hapo hapo nkakimbilia boiler kuku mchele na safariii dah siwez kusahau na umalaya wote ule ule ngoma ZINAA MBAYA asante munguu
Usinipe presha mi cpimi tenaaaaUSIFURAHI--UNATAKIWA UMPIME TENA BAADA YA MIEZI MITATU(3MONTHS). KWA MARA TATU.
Ngoja nfanye ivoo maaana nmelala na madem karibu 40Okoka kabisa mkuu
NtajitahidMaji huwa hayaachi baridi...
Mbona wachache sana mkuu??Ngoja nfanye ivoo maaana nmelala na madem karibu 40
Kuna jamaa kipindi yuko form two kalala na madem 100, nahisi saa hivi ashafikisha km 400 maana yuko chuo mwaka wa kwanza. So 40 ni kawaida mkuuNgoja nfanye ivoo maaana nmelala na madem karibu 40
Dah huyo atakuwa na kibamiaKuna jamaa kipindi yuko form two kalala na madem 100, nahisi saa hivi ashafikisha km 400 maana yuko chuo mwaka wa kwanza. So 40 ni kawaida mkuu
Arobaini (40) tu ndio una weweseka? wenzio wanalala nao kiasi kwamba hata idadi wanaisahau wewe hao forty tu unapagawa!!!Ngoja nfanye ivoo maaana nmelala na madem karibu 40
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usinipe presha mi cpimi tenaaaa
USIFURAHI--UNATAKIWA UMPIME TENA BAADA YA MIEZI MITATU(3MONTHS). KWA MARA TATU.
hahahahahahah, labda anawahi kupee kama kuku!!!!Kuna jamaa kipindi yuko form two kalala na madem 100, nahisi saa hivi ashafikisha km 400 maana yuko chuo mwaka wa kwanza. So 40 ni kawaida mkuu
Kwel we na mkeo wote malaya,,mpka sa sita yupo nje kwa majirani duuuh huyo mke mpe salam zanguNmeacha umalaya na uzinzi kupima si mchezo dah Jana nlipoenda kupima ngoma aisee nlikukutwa na dalili zote za HIV nkaogopa kuchukua majibu nkawapa no za mke Wang wampe
Kwahyo nliogopa kurud home mpk sa 6 iv nkamuua kurud niangalie mke Wang ypo katika hali gan dah sikuamin nkamkuta yupo anapga storii na kichekoo cha juu na majiran hapo hapo nkakimbilia boiler kuku mchele na safariii dah siwez kusahau na umalaya wote ule ule ngoma ZINAA MBAYA asante munguu
Alikuwa ananisubiriaKwel we na mkeo wote malaya,,mpka sa sita yupo nje kwa majirani duuuh huyo mke mpe salam zangu
Kabla sijaoa 2012 niliacha kuandika mwaka 2009 nilishafikisha 1013 na nilikua sina hela kipind hcho mwaka 2010 nikazikamata vzr weeeeee mmmhArobaini (40) tu ndio una weweseka? wenzio wanalala nao kiasi kwamba hata idadi wanaisahau wewe hao forty tu unapagawa!!!
Kuna jamaa wakitongoza ni ngumu kukataliwa, ye enzi hizo yuko gheto. Alitembea karibia na darasa zima plus wa mtaanihahahahahahah, labda anawahi kupee kama kuku!!!!
hahahaaha, du!Kabla sijaoa 2012 niliacha kuandika mwaka 2009 nilishafikisha 1013 na nilikua sina hela kipind hcho mwaka 2010 nikazikamata vzr weeeeee mmmh
Hao ndio mwishoe uzeeni wanaumwa matezi dume, kuziba mikojo na takataka zingine zote magonjwa ya wazeeKuna jamaa wakitongoza ni ngumu kukataliwa, ye enzi hizo yuko gheto. Alitembea karibia na darasa zima plus wa mtaani